Chadema na vyombo vya dola kunani?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema na vyombo vya dola kunani??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MAFILILI, May 10, 2012.

 1. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hiki chama siku za karibuni kimepamba kurasa za magazeti kwa mvutano wao na jeshi la polisi kiasi ambacho INATUWIA VIGUMU kutengenisha harakati za CDM na jeshi la polisi pamoja na mahakama.
  Siku hadi siku wanazalisha kesi nyingi zikiwa ni za kujitakia kwa njia ya kuichokonoa serikali ili waonewe huruma na wananchi. Pamoja na kuwepo kwa utitiri wa kesi zilizopo mahakamani, majuzi Mei 5, kwa kumtumia mbunge wa Arumeru Mashariki, wametoa matamko ambayo yanahatarisha ustawi wa Tanzania kwa kutishia UTAWALA ULIO MADARAKANI KIHALALI kuwa Amiri Jeshi Mkuu asipite kanda husika. Hali hii haikubaliki kabisa. Tunalishukuru jeshi imara la polisi limefuatilia tukio hilo na wahusika watapandishwa kizimbani wakati ukiwadia.
  CDM badilisheni mbinu, watanzania wanataka amani na umoja!
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Hoja mufilisi,nenda lumumba ukale buku 2 yako.
   
 3. k

  kastarehe JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 231
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  UMEMALIZA UCHAFU WAKO hapa!? unataka ujibiwe vipi na nani au wewe ni POLICCM?
  Hii inajulikana kwa sababu Jeshi la kulinda amani ya watanzania wote linaposimamia maslahi ya chama kilicho madarakani tena chama chenyewe cha majambazi wapenda haki wote watakuwa matatani. POLICCM wanajua wanachofanya na wanafuata maagizo ya waume zao!! COME 2015 yote yatakwisha!!
   
 4. MAFILILI

  MAFILILI JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 1,916
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Wewe siku zote ukipewa ushauri wa bure hautaki kuufikisha Kinondoni, hicho chama mnatakiwa mbadilishe muelekeo, siku hizi mnafanyia siasa POLISI NA MAHAKAMANI badala ya kurudi kwa wananchi
   
 5. m

  manucho JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 3,410
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hujui unachoongea
   
 6. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   
 7. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  wewe Kinondoni haupajui?
  Nenda mwenyewe uupeleke huo ushauri wako!
   
 8. m

  mageuzi1992 JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 2,512
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  this must be checked well
   
 9. Asnam

  Asnam JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Jan 18, 2012
  Messages: 4,268
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 135
  kwa hiyo hao polisi wameona cdm peke yake ndo watenda makosa ila viumbe waliouliwa kwa mikono yao kule Songea,Arusha na Mbeya ndiyo halali ungukuwa enzi za mwalimu ungepewa deportation to Lindi for good this is serious.I think your not mature enough:shetani:
   
 10. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Mbona magamba mnashupalia kauli ya nasari kana kwamba yeye ndio wa kwanza kusema hayo ?
   
 11. P

  Papadoc Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Feb 10, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaan cjui wa2 wengine wanafikir kwa ku2mia nn. Hiv kuna wa2 bado wanaamin kuwa 2015 itaendelea kuwa madarakani kweli? Nonesense!
   
 12. S

  Salary Slip JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 24,999
  Likes Received: 37,701
  Trophy Points: 280
  Pamoja na maoni yako lakini jiulize kama polisi wanatenda haki mbona watuhumiwa wa ufisadi wanapeta mitaani na polisi wapo,wauza madawa ya kulevya nao wanatesa mitaani licha ya mkuu wa kaya kudai ana orodha yao n.k.Ina maana wanasiasa ndio hatari zaidi kwa ustawi wa taifa hili kuliko mafisadi na wahujumu uchumi au wauza madawa ya kulevya ambao kila siku utasikia jalada liko kwa DPP mara ushahidi hautoshelezi.

  Tafakari ndugu nchii hii ni yetu sote.
   
 13. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Hao wananchi wanaojiunga na CDM wanatoka polisi au mahakamani? unapost vithread vingi lakini vinaishia na comment 10 tu hahahhhhhaaaaa
   
 14. ZE DONE

  ZE DONE Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 15
  Lione kwanza hata aibu huna unataka ukuu wa wilaya nini na fikra mgando zako maana wewe ndo sample za vasco dagama nenda kaanze na ukatibu kata umeshaukosa.
   
 15. M

  Molemo JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Upumbavu ni kitu kibaya sana
   
 16. mbogo31

  mbogo31 JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Nov 28, 2008
  Messages: 687
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Watanzania tunataka maendeleo, tunataka dawa,Vifaa vya matibabu na madaktari wanaolipwa kulingana na fani yao katika hospitali zetu, tunataka vitabu, madawati, madarasa bora na nyumba safi na imara za walimu pia walimu walioandaliwa na kulipwa vizuri, tunataka, umeme, maji nk, tunataka kudhibitiwa kwa mfumuko wa bei ili watu wapate milo mitatu na zaidi kwa siku,tunataka miundo mbinu iliyojengwa kwa ubora na sio hizi barabara za 10%, hayo ndiyo mambo tuyatakayo watanzania na ukiongeza kupatikana kwa ajira na matumizi mazuri ya rasilimali zetu ndiyo tunaita amani, sio amani utakayo wewe na chama chako cha ccm amani ya watu kufa kwa njaa na ukosefu wa huduma muhimu za kijamii huku kikundi cha watu wachache wakivimbiwa na kufura matumbo. amani ni neno pana na maana yake inaanzia kwenye maendeleo, watu kuishi kwa upendo, raslimali za taifa kuwanufaisha walio wengi na democrasia ya kweli hiyo ndiyo amani.

  Siku nyingine hata kama unaipenda sana ccm na unamaslahi nayo jaribu kushirikisha ubongo kabla hujaja hapa JF.
   
 17. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mery nagu alitumwa na nani kuwaambia watanzania kuwa ukichagua upinzani utaenda likizo ya lazima kimaendeleo?
  kama waziri anaweza kusema hivyo kwa nini mbunge aliyepewa likizo asiwapige marufuku kukanyaga kwake?
   
Loading...