Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mjumbe wa Kamati kuu CDM na mbunge wa Moshi mjini Philemon Ndesamburo amezindua mfuko maalum wa kuwasaidia wanachama na viongozi wa chama hicho wanaobambikiwa na kufunguliwa kesi kila mahali ili...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Source ya habari yangu ni mtu aliyekaribu sana na Lowassa. Lowassa amejiwekea option tatu, moja kubaki CCM kama hawatamwekea vikwazo vya kugombea urais, pili amuunge mkono mtu wake ndani ya CCM...
1 Reactions
56 Replies
8K Views
GAZETI la kila wiki la Dira ya Mtanzania toleo la leo, Jumatatu, Mei 7, mwaka huu, 2012, limechapisha habari yenye kichwa cha habari, “Familia ya JK yachafuliwa”. Katika habari hiyo, Gazeti...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuwasilisha ili wale wenye mawazo zaidi wanafungue macho kwa upana zaidi. Hivi ni kosa kupigania haki, Je haki haipiganiwi? Nauliza hivyo kwa sababu tumezaliwa TZ lakini mambo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJF Nadhani wote mngependa kujua kuhusu kinachojiri hapa kuhusu Mheshimiwa Joshua Nasari na sakata lake na polisi wa Arusha. To make a long story short, mchana huu kasharipoti kituo kikuu cha...
7 Reactions
388 Replies
38K Views
Wengi walishangazwa na hatua ya Ikulu kuingilia kati suala la Jairo, na kuuliza wapi kilikotoka kiburi cha kutomchukulia Jairo hatua. Ukweli ni kwamba Jairo na JK walikuwa damu damu toka enzi JK...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau, Katika kuhakikisha tatizo la umeme linakuwa ndoto serikali yetu sikivu imevunja ukimwa kwa kuwazawadia Tanesco Fungu. SERIKALI imekubali kulidhamini Shirika la Umeme nchini(Tanesco) ili...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Hivi uteuzi wa wakuu wa wilaya hasa huzingatia vigezo gani?Msingi wa swali langu ni kuwa inakuwaje mtu ambaye teyari ni mbunge anapewa tena ukuu wa wilaya?Ina maana hakuna watanzania wengine wenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mawaziri na manaibu waziri - 55 Wakuu wa mikoa - 25 Wakuu wa wilaya - 133 Marais wastaafu - 2 Mawaziri Wakuu wastaafu - 6 Tunahitaji kufunga mikanda zaidi ili kupiga hatua za maendeleo
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Sababu kubwa sana inatokana na makosa ya serikali ya awamu ya kwanza kukubali ikulu na ofisi nyingi za serikali kukaa dare es salaam. Kama makao makuu ya serikali yangekuwa dodoma sidhani kama...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
  • Closed
Nimeliona jina la kamanda huyu kuteuliwa kuwa mkuu wa wilaya katika vyombo vya habari vyote. Ninachofahamu ni kuwa mtu yeyote kabla hajawa mkuu wa wilaya huwa anaarifiwa mapema kwa minajiri ya...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Kauli ya wiki hii ya ASP Mungulu aliyotoa wakati akimtaka Mhe. Nassari (Mb) ajisalimishe mwenyewe polisi inaashiria nini? Nanukuu "Kama Nassari hatajisalimisha mwenyewe sisi tutamzalilisha" (ASP...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Wadau jf hamjambo. Hakika Jeshi letu la polisi na baadhi ya vyombo vya habari visipoacha unafiki katika kazi zao zinaweza kushusha janga katika taifa hili. Hii inatokana na mtazamo wangu wa muda...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi juzijuzi Nape alisikika akitaka CHADEMA kiombe radhi kwa matamshi aliyotoa Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa kauli inayofikiriwa au tafsiriwa ni maneno ya ubaguzi. Huku akisahau kuwa naye...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
131. (1) The President—(a) is the Head of State and Government;(b) exercises the executive authority of the Republic, withthe assistance of the Deputy President and CabinetSecretaries;(c) is the...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari kubwa leo katika magazeti mbalimbali ni juu ya uteuzi wa wakuu wa wilaya. Baada ya kuanzishwa wilaya mpya, idadi yote ya wakuu wa wilaya sasa imetimia 133. Je, nafasi hii inaumuhimu ghani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wizara ya elimu ni wizara nyeti inayogusa maisha ya wananchi karibuni wote,kinachoshangaza imegeuzwa kama kijiwe kwani tangu 2005/06 mitaala imebadilishwa kiholela kiasi ambacho kinazidi poromosha...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Wana JF, Kuna tabia kwa sasa imeibuka ya watendaji serikalini na Wana CCM ya Kufunga macho na kufanya mambo bila kufikiria hasa Jeshi la polisi. Mfano wa Matukio yaliyotokea siku za karibuni...
0 Reactions
0 Replies
929 Views
WAZIRI kivuli wa Wizara ya Fedha, Zitto Kabwe na wajumbe wa Kamati ya Mashirika ya Umma wamedaiwa kuhongwa sh milioni 60 ili walitetee shirika hodhi la mali za umma (CHC). Tuhuma hizo...
0 Reactions
38 Replies
5K Views
Wakuu kweli watangazaji wengine ni kichefuchefu nimemsikia Hosea Cheyo wa Tbc anasema ccm ina wanachama robo tatu ya wakazi wote wa mkoa wa Mbeya, jamani hv huyu anaijua mbeya au anataka ukuu wa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom