Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Source Star Tv Nimemsikia kiongozi wa UVCCM akidai CDM ni hatari kwa taifa na Nasari katumwa na Dr. Slaa kwani ni kauli yake toka 1995 kuwa wataingia ikulu hata kwa kumwaga Damu. Najiuliza...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Posted on May 10, 2012 by zanzibaryetu Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Joseph Warioba Ahmed Rajab TUME ya Katiba, chini ya uwenyekiti wa Jaji Joseph Warioba, imekwishaanza kujipanga na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naona wanafunzi ndo wengi uwanjani hivi ndo sela ya CCM mwenge ni wa wanafunzi wa shule za msingi na walimu wao?
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari zenu WanaJF Hizi dukuduku nimeziweka moyoni mwangu muda mrefu sasa. Tangu kuahirishwa kwa mkutano wa Bunge tarehe 23/4/2012, na kuibuliwa kwa ubadhirifu mkubwa wa fedha za umma, vichwa vya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kila inapotokea safari inayomhitaji kiongozi wa juu wa nchi,karibu mara zote,Rais Jakaya Kikwete amekuwa akihudhuria mwenyewe.Anasafiri mara kwa mara.Anaonekana mtembezi. Kikatiba,Rais husaidiwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye taarifa kuhusu alipo Saed Kubenea ambaye amekuwa mwandishi wa gazeti la Mwanahalisi kwa muda mrefu tafadhali anijulishe. Mimi ni mpenzi sana wa articles zake za kisiasa katika Gazeti hilo...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
samahani sina maana mbya lakini nimegundua wengi wa wakuu wa wilaya walioteuliwa ni wahanga wa uchaguzi mkuu wa 2010 mkitaka nithibitishe nipo tayari….
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndiyo, kwa sababu naona kikwete yeye ndo ana act kama minister of Foreign Affairs. Kama sasa hivi naskia yupo ethiopia, akitoka hapo kwa Obama.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Heshima kwenu wanajamvi. Jamvi letu linawataalamu mbalimbali hivyo ni matumaini nitapata msaada wa kutosha.Nini kazi ya - 1.Mkuu wa Mkoa 2.Mkuu wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Ongeza na wewe unayokumbuka. 1.Akichukua mtu form Atakufa by Mar.Yahya 2.Mkiwachagua wapinzani hatutaleta maendelea by john pombe maguful 3....... 4.... . . . . 100
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Nimeona sherehe za kuwashwa mwenge kupitia tbc. Kwa kweli inauma sana kila siku hafla zisizo na maana zikitumia pesa kibao. Hivi kuna ulazima gani wa kuwasha mwenge kila mwaka? Nini faida ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ALIYEKUWA MKUU WA WILAYA YA HAI DR Norman Siggala (maarufu kama shemeji kama waandishi wa habari moshi wanavyiomuita) mwaka jana alichangisha fedha kwa wafanyabiashara jijini dar es salama 480ml...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
MBUNGE wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama Sugu ameitaka Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, kuunda tume huru kuchunguza chanzo cha vurugu za wamachinga zilizotokea Novemba 4, mwaka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mkutano huo ulikuwa uhutubiwe na mbunge Wa vitimaalum mkoani humo ,miongoni maw sababu ya kuzuwiliwa ni kwamba kuna ziara ya Naibu waziri hivyo ungeweza ku intervene , Nawasilisha
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Polisi wakishamalizana na Nassari. wawahoji na akina Magufuli kwa kauli zamkichagua upinzani serikali haitaleta huduma jimboni. Najua PM alisema it was just "unfortunate" na yakaisha, hawajahojiwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika kule tunaposema ni kulindana na nani amfunge Paka Kengele ni kua kuna yule bwana aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) kwa takribani miaka 20, Amani...
2 Reactions
25 Replies
7K Views
Mimi ni mwanachama wa cdm na mpenda mageuzi kinachonikera kwenye hichi Chama changu ninachokipenda sana!! ni hizi nyimbo za kidini zinazopigwa kwenye mikutano ya cdm napa Arusha sina uhakika na...
11 Reactions
73 Replies
6K Views
Kwa tulivyosomeshwa skuli zetu mwenge uliwashwa ukiwa na ujumbe ati UHURU WA KUJITAWALA,UMOJA NA MSHIKAMANO.sasa kwa leo vitu hivi havipo sasa unamanufaa gani kama cyo kufuja pesa zetu kwa sherehe...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
JK naskia yupo Ethiopia... TBC One inaripoti muda huu
1 Reactions
81 Replies
7K Views
Habari za uhakika kabisa ni kwamba Mkuu wa chuo cha mkwawa iringa amepewa barua ya kukabidhi ofisi ifikapo Jumatatu asubuhi sambamba na wasaidizi wake 2! Na hii inatokana na tuhuma nzito za...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Back
Top Bottom