Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Shy-Rose Banji akizungumza na Balozi wa Kenya nchini Tanzania Mutindo Mutiso alipomtembelea Balozi huyo Ofisini kwake leo na kuzungumza mambo...
Hivi juzijuzi Nape alisikika akitaka CHADEMA kiombe radhi kwa matamshi aliyotoa Mbunge wa Arumeru Mashariki kwa kauli inayofikiriwa au tafsiriwa ni maneno ya ubaguzi.
Huku akisahau kuwa naye...
Tarehe 6/5/2012 Jumapili iliyopita, watu wa Ufaransa walifanya uchaguzi wao ambao tulishuhudia ukimfanya François Gérard Georges Hollande (Socialist Party) kuwa Rais wa 24 wa Ufaransa tokea mwaka...
Kichwa cha habari chahusika.
Sisi watumiaji wa barabara ya moshi arusha tumeletewa kero tena kero ya mwaka. Maneja wa TANROAD arusha sijui kwa maslahi ya nani ameamua kuanzisha mizani bubu pale...
Wapendwa wana JF Habari za uhakika ni kwamba Kilio Cha Wananchi Wilaya ya Same kwa uongozi wa CHADEMA Taifa kimesikika na Mwenyekiti wa BAVICHA TAIFA Anatarajiwa kuanza Ziara yake ya Siku 4 Same...
Wakati umefika sasa kwa Viongozi wa kitaifa wa Chadema kutupia jicho uongozi wa Chadema jimbo la Morogoro Mjini kufuatia hali mbaya ya kisiasa inayoendelea ndani ya Jimbo la Morogoro Mjini...
Eti wewe ukiamka kesho asubuhi mara unaona namba ngeni juu ya screen ya simu yako,ukiipokea unakuta ni mh JK anaomba msaada wako juu ya kumpa majina 10 ya wana ccm safi ili ayapeleke NEC kwa...
Nataka nitofautiane kwa mbali na mashambulizi aliyofanya mhariri wa gazeti la Mwananchi dhidi ya Mbunge wa Arumeru Mh. Joshua Nassari. Kauli aliyotoa Nassari siyo kauli mbaya kuliko zote kutolewa...
NINGEPENDA KUWASILISHA HIJA IFUATAYO TUIJADILI.
kWANINI SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LISIFIKIRIE HILI?
Kuna wananchi watanzania ambao wanaviwanja, lakini kutokana na sababu mbalimbali wameshindwa...
Sina hakika kama ilikuwa ni Press Conference au ni mahojiano tu na Clouds Radio, Mheshimiwa Membe amefunguka wazi kwamba hadi sasa msimamo wa TZ ni kuitaka Morocco kuiacha Sahara magharibi...
WanaJF, ktk mambo yanayonitia kichefuchefu ni uteuzi wa Hawa Ghasia kuwa waziri wa TAMISEMI, huyu mama ni kilaza mnoo, wizara hii ni ngumu kuliko zote hasa kwa aina ya mawaziri waliopo CCM na pia...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua BIBI MWANAHAMISI OMARI KITOGO kuwa MSAIDIZI WA RAIS, HUDUMA ZA JAMII.
Taarifa...
Mh waziri mkuu ametangaza majina ya wakuu wa wilaya hivi punde, ni masikitiko makubwa sana kwamba wengi wao ni wale walioshindwa ubunge, wastaafu, wabunge, watangazaji, na kadhalika. Hivi hawa...
Je yanayotamkwa huko Ethiopia ni kweli? Wachimbaji wadogowadogo wa dhahabu yaliwakuta hayohayo. Hongera serikali ya CCM kwa kujali masilahi ya wananchi wake . Ari mpya,Nguvu Mpya, Kasi Mpya...
mm nkijana ambaye nmesimamishwa masomo UDSM kwa sababu za kisiasa kwamba m n mwanachama wa CDM BUT nitaka ntengeneze movie ya kimapinduz ya kisiasa lakin sijui nianzie wap kwan nshaandika tips...
Heshima Kwenu Wanabodi,Natumaini wote mtakuwa Mapumziko huku mkimsikiliza Mwenyekiti wa CCM Taifa na Raisi wa JMT akiongea mustakabali wa wafanyakazi wa Tanzania katika maadhimisho ya wafanyakazi...
Kwa kweli ndugu zangu mie nimechoka kusikia jinsi watu wanavyoila hii nchi, sielewi wana maana gani, HIVI CCM hii nchi mliachiwa na Bibi yenu? mbona hamna hata aibu, ufujaji mwingine mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.