Baraza la Mawaziri/ Uteuzi wa maDC: Uthibitisho tosha kuwa JK siyo mdini

Status
Not open for further replies.

wimbi la mbele

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
647
266
394px-Bundesarchiv_Bild_146-1976-123-09%2C_Arnold_Brecht.jpg


Arnold Brecht (January 26, 1884 – September 11, 1977)




Kwanza kabisa ningependa kuchukua firsa hii ya kumshukuru mwenye forum hii bwana Max na timu yake kwa kutupatia ukumbia mabo tunajadili mawazo na mambo mbali mbali bila woga wala kutishana.

Pia nishkuru kwa kutuwezesha kutoa maoni yetu bila kutishiwa kuondolewa thread au kufutwa ili kuwafurahisha watu fulani fulani.

Kwa hili nakuunga mkono na naomba uendelee na uadilifu wako uliotukuka wewe na jpo lako.

Sasa kwa sababu huu ni ukumbi uliosheni watu amabo ni GREAT THINKERS ninaona itakuwa si vibaya nikaanza na quote toka kwa GREAT THINKER mwenzenu kwa jina la : Arnold Bretch amabaye aliandika kitabu kiitwacho Political theory: The Foundations of the twentieth-century political thought ambamo kuna chapter nzima anzungumzia Prostulate of factual truth na kwenye ukurasa wa 404 anasema kuwa kwenye hiyo prostualate of factual truth kuna 4 possibilities na nakuu:

As regards its factual truth a discriminatory statement there fore, may be:

(1) both objectively and subjectively just

(2) Objectively and subjectively unjust

(3)Subjectively but objectively unjust

(4) subjectively unjust but objectively just

Sitaki kuwaboa sana na quotes from uyu jamaa lakini nadhani Great Thinker yoyote humu ndani anaweza kuchanganua pumba na mchele.

Wale jamaa ambao kila kukicha hawaishi kufanya mikutano ya hadhara na kulalamika kwenye nyumba za ibada na online kuwa JK ni mdini sasa hawana lao.

Mimi naona JK amefanya kazi nzuri sana kuliko hata Mkapa kwani yeye kaweka wazi kabisaaa kuwa siyo mdini na mwenye macho haambiwi ona.


sasa tunasubiri na wakuu wa mikoa, makatibu wakuu, wakurugenzi wa mashirika ya uma kwa style hii hii.

Kazi kwenu ma Great Thinkers.
 
Ni Kweli kabisa siyo mdini ila siyo makini!! Ndo maana kutangaza kwenye TV imekuwa qualification za u-DC!!!
 
Nani umewahi kumsikia analalamikia dini ya kikwete au udini wake? watanzania wanalalamikia ubovu wa utawala wake ama yeye binafsi kushindwa kabisa kabisa kuongoza serikali pamoja na chama chake, dini yake wala dini za wasaidizi wake sio issue kabisa kwetu, we need strong Governance, hata shetani akijitokeza na kuweza kudeliver tupo tutakaomrecommend kutuongoza.

acha pumba bwana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom