Mrisho Gambo: mwanasiasa aliyelitikisa Bunge ila kura hazikutosha..DC MUPYA KOROGWE. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mrisho Gambo: mwanasiasa aliyelitikisa Bunge ila kura hazikutosha..DC MUPYA KOROGWE.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DALLAI LAMA, May 10, 2012.

 1. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Nilikuwa nafuatilia mahojiano ya wanaoomba kura za ubunge wa EALA kupitia ITV wiki zilizopita,ikafika zamu ya Mrisho Gambo,mwanasiasa machachari wa arusha,alimudu kuongea lugha ya watu na elimu yake imejitosheleza,alifanikiwa kujibu vyema maswali aliyoulizwa ila kura hazikutosha ktk muda ambao sisi watazamaji 2lijua jamaa atakuwa damu changa ktk bunge la afrika mashariki.GAMBO ana uwezo mkubwa na hana 'ambition' yoyote ya madaraka.Amepata nafasi ya Ukuu wa wilaya ya korogwe ktk wakati mzuri kwake kujijenga kwani 'type' yake yafaa iwe ktk mitaa ya dodom.Ni matumaini yangu kuwa Gambo atahamishia utendaji wake na ujasiri wake ktk NAFASI yake mpya ambayo katu hajapata kuiota ninavyomjua.long life bro..c u then.
   
 2. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Utata mtupu kwenye hii post, either wewe ndio Gambo au Cameron wake maana sifa zote ulizotoa hapo ni za kijinga. Jamaa aliyeshindwa kutofautisha kazi za mweka hazina na Mwenyekiti wa uvccm anapewa udc akafanye nini? Akafanye ufisadi haraka bado miaka miwili tu hicho cheo kifutiliwe mbali. Vipi alishakabidhiwa ofisi na milioni 2 toka kwa Ole Millya?
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  unatamaani sana kutukanwaee!!! sasa subiri matusi yanakuja sasa hivi.
   
 4. Ronn M

  Ronn M JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 1,283
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Huwa sielewi mwanaume unapomsifia mwanaume mwenzio asiyestahili! Duh
   
Loading...