Mbowe;huu ni muda muhimu kwako kisiasa na kichama! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mbowe;huu ni muda muhimu kwako kisiasa na kichama!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, May 10, 2012.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Wana jfa wenzangu nawasalimu wote.
  Naomba pia nichukue fursa hii kutoa machache kwa ajili ushauri kwa mh mbowe na secreteriet ktk kukijenga chama.
  Nianze kwa kukupa pongezi kubwa sn ww na secretariet yk kwa kazi kubwa mfanyayo kukiimarisha chm bila kuogopa vtisho mnavopat toka kwa serikali ya ccm.
  chdm ni dhahiri imejipatia umaarufu mkubwa sn na kuwa tishio kwa siasa za chm tawala na tumaini la watz.naamini mabdliko wanayotaka watz yapo na ytletwa na chdm.hvyo ccm hawayapendi kwa sbb ni angamizo kwacho.
  Wanajitahd sn kukiua cdm kwa mbinu mbalmbali km kuwabambikizia makesi,kuwavua ubunge wabunge wanaoonekana mwiba kwao,kuwaua wafuasi wa chdm,kukuza migogoro inayojitokeza ndan y chdm,kutuma mashushushu kuivuruga chdm na mbinu nyngine nyingi chafu lakin nikutie moyo mh mbowe na secretariet nzima;TULIANZA NA MUNGU,TUTAMALIZA NA MUNGU!
  Mh Mbowe na secretariet nzima huu ni wakati mgumu sana kisiasa.kufanikiwa kukivusha chdm 2015 na kuendelea kubaki na umaarufu huu,au kupata zaidi itaonesha ukomavu wenu kisiasa na uwezo wenu kukabiliana na changamoto zinazojitokeza hatimaye uwezo wa kuiongoza tz.
  Mna mapandikizi wengi sn sn wanatoka ccm sasa na kujiunga cgdm wakijidai ni wapambanaji.USISHANGAE KUONA WAKIRUDI CCM 2015 KABLA YA UCHAGUZI MKUU WAKIKITUHUMU CHDM NA KUACHA MIPASUKO KIBAO!Hao c wapambanaji km 2navyodhani.
  uwezo wako ni kuweza kuwagundua na kutengua mbinu zao chafu huku mkizidi kuwaleta pmj watz kwa mageuzi ya kweli.NAKUHURUMIA KWA KAZI NZITO ULIYONAYO MH.MBOWE!Lkn nikutie moyo kwamba mungu amekutuma na atakufanikisha kwa hili la ukombozi wa watu wake!USIOGOPE WALA USIRUDI NYUMA
  Mh. Naku/wafananisha na mama m/walezi.unahtaji kuwalea na kuwajenga viongozi wachanga ndn ya chdm ili waweze kuwa wapambanaji wa ukweli!
  Nimalizie kwa kauli ya mh Nassari!unahitaji kumfunda vyema kwani bado ni mchanga kisiasa.kuteleza ni jambo la kawaida kwa binadamu.mtoto akiunyea mkono,hupaswi kuukata na kuutupa bali kuuosha na kuendelea na majukumu ya kimalezi.mfunde na hapo ndipo ukomavu wa chama utakopookena.nikutakie utendaji mwema.

  andrew.1984@yahoo.com(0716689250)
   
 2. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Mkuu naungana na wewe 100% ni wosia mzuri nafikiri CDM wataufanyia kazi japo mengine walishaanza
   
 3. Ayubumollel

  Ayubumollel Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nauka mkono ushauri wako,na hata wanachama wa cdm kukubali kuwavua magamba wana ccm si kwamba tunawaamini sana na kama lengo lao ni kuja kukituhumu chama itakua ngumu sana,na kwa tahadhari tuu nao wakae kabisaa wakijua kwamba hatuwaamini na pengine hatuwapendi na wasije wakaijaribu cdm,Mungu ni silaha yetu.WAO WANA PESA SISI TUNA MUNGU.VIVA M4C,VIVA CDM
   
Loading...