Mungu amesikia Kilio cha watu wa Mabogini Moshi Vijijini-Chami nje

Mkwawa

JF-Expert Member
Jun 8, 2011
1,334
1,464
Tangia Cyril chami awe Mbunge wa Moshi vijijini kwa makusudi ameamua kuligawa jimbo hilo na kushughulika na sehemu ya Milimani ya jimbo hilo na kusahau kabisa ukanda wa chini ikiwamo kata ya mabogini na zile zote zilizo kwenye ukanda wa tambarare.

Ukanda huu unakabiliwa na tatizo kubwa la ubovu wa barabara, maji, na huduma za afya. Chami amewahi kukaririwa akisema hahitaji ukanda huu kwani hana wapiga kura.

Watu hawa wamekuwa wakimwombea ampoteze uwaziri ambao ulikuwa ukimpa kiburi na dharau.

Kwa muda huu anaweza kukumbuka shuka.
 
Waziri asiyejua wajibu wake kama chami ni mpumbavu kweli!
Analialia eti amepigwa chini kwa kosa lisilomhusu changudoa we!
Nina hasira na wapuuzi mimi!
Kama kosa si lake kwanini hakumwajibisha aliyefanya kosa na wakati ye ndo mkuu mwenyewe?

Moshi vijijini kwa chadema 2015 mbali
 
Duh!? Taratibu Mkuu. Umesahau kama kuna ban!?
Waziri asiyejua wajibu wake kama chami ni mpumbavu kweli!
Analialia eti amepigwa chini kwa kosa lisilomhusu changudoa we!
Nina hasira na wapuuzi mimi!
Kama kosa si lake kwanini hakumwajibisha aliyefanya kosa na wakati ye ndo mkuu mwenyewe?

Moshi vijijini kwa chadema 2015 mbali
 
Naamini jimbo litaondoka 2015 tunataka upande ule wawachaga tumalizie majimbo ma wili yaliyobaki mikononi mwa ccm jimbo la moshi vijijini la chami na jimbo la siha la Agrey mwanri. Tuwaache wapare wakiendelea kuwabeba ccm.
 
Kweli mtu kama Chami yule ni zigo tu katika jamii ya Watanzania.

MUNGU amewajibu Wanamabogini kwa maombi yao.
 
Back
Top Bottom