Nkhambaku msaliti chadema singida magharibi(2010) naye auukwaa ukuu wa wilaya

NGAGHE

Member
Oct 31, 2011
21
20
Wilson Elisha Nkhambaku ameteuliwa na JK kuwa mkuu wa wilaya ya kishapu na jina lake ni la 62 kwenye orodha ya wakuu wa wilaya.Kijana huyu mwenye umri wa miaka 37 alishinda kura za maoni kupitia CCM nakupata kura 3499 dhidi ya mbunge wa sasa Mohamed Missanga aliyepata 3433 lakini akaenguliwa na kamati kuu ya CCM na kuamua kuhamia CHADEMA tarehe 16/08/2010 na kusema kilichomkimbiza kutoka CCM, ni mizengwe iliyopelekea kueguliwa bila sababu za msingi. Baada ya mda si mrefu alitangaza kujitoa kwenye kinyang'anyiro hicho cha ubunge na kurudi CCM huku akiiponda CHADEMA na Dr Slaa akifanya kampeni jimboni humo.Nkhambaku alikuwa anakubalika sana alikuwa akisomesha watoto wengi jimboni humo wakati huo inasemakana alikuwa anafanya kazi world vission.Jimbo la Singida kusini liliokuwa chini ya Missnga liligawanywa mara mbili kupata majimbo ya Singida mashariki ma magharibi CCm ikihofia moto uliowashwa na Tundu Lissu tangu 2007 akitoa elimu ya uraia jimbo zima.Ilisemekana kwamba anehongwa ukuu wa wilaya akiacha kugombea na kweli tetesi za wakati huo zimetimia.
nawasilisha.
 
Anahangaika tu, nchi inachukuliwa na chadema 2015 na ndio utakuwa mwisho wa kugawana vyeo kwa kujuana bila meritocracy
 
Wanaojiunga chadema kwa tamaa ya kupata madaraka pekee bila kuwa na tamaa ya kuwatumikia wananchi katika njia iliyo sahihi wataondoka mmoja mmoja.
Chadema itazidi kusonga mbele na muda si mrefu wachumia tumbo wote watakuwa benchi na chama chao cha magamba.
Na huyu Nkhambaku akirudi jimboni mwaka 2015 wananchi hawatakuwa na imani nae tena, na asitegemee kuchaguliwa, maana Libeneke la Tundu Lisu huko Singida litawatafuna wengi.
 
I was there that time,ni kweli jamaa jimbo alikuwa anachukua but ccm wakamhadaa,alichukua pesa pia akaahidiwa kupewa udc jambo ambalo limetimia, thats it kwenye msafara wa mamba na kenge wanakuwemo
 
Anahangaika tu, nchi inachukuliwa na chadema 2015 na ndio utakuwa mwisho wa kugawana vyeo kwa kujuana bila meritocracy
kwa hiyo walioko madarakani sasa chadema wakichukua nchi mtawaachisha kazi? mtaliingiza taifa katika hasara kubwa sana. mtawalipa haki zao za kuwaachisha kazi bila kufuata sheria na kanuni? hatari basi kama ndio falsafa hiyo.
 
Wilson Elisha Nkhambaku ameteuliwa na JK kuwa mkuu wa wilaya ya kishapu na jina lake ni la 62 kwenye orodha ya wakuu wa wilaya.Kijana huyu mwenye umri wa miaka 37 alishinda kura za maoni kupitia CCM nakupata kura 3499 dhidi ya mbunge wa sasa Mohamed Missanga aliyepata 3433 lakini akaenguliwa na kamati kuu ya CCM na kuamua kuhamia CHADEMA tarehe 16/08/2010 na kusema kilichomkimbiza kutoka CCM, ni mizengwe iliyopelekea kueguliwa bila sababu za msingi. Baada ya mda si mrefu alitangaza kujitoa kwenye kinyang'anyiro hicho cha ubunge na kurudi CCM huku akiiponda CHADEMA na Dr Slaa akifanya kampeni jimboni humo.Nkhambaku alikuwa anakubalika sana alikuwa akisomesha watoto wengi jimboni humo wakati huo inasemakana alikuwa anafanya kazi world vission.Jimbo la Singida kusini liliokuwa chini ya Missnga liligawanywa mara mbili kupata majimbo ya Singida mashariki ma magharibi CCm ikihofia moto uliowashwa na Tundu Lissu tangu 2007 akitoa elimu ya uraia jimbo zima.Ilisemekana kwamba anehongwa ukuu wa wilaya akiacha kugombea na kweli tetesi za wakati huo zimetimia.
nawasilisha.

Ni kweli, ulipelekwa na Nyalandu kwa Mkuu wa kaya na kuahidiwa U-DC. Tulikuchangia ukatuangusha kwa tamaa ya madaraka nataka nikuhakikishie Wilson hiyo kazi ni ya hovyo na haina muda mrefu.
 
Back
Top Bottom