Jk na wabunge 10

Jk na wabunge 10

Mozila

Senior Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
174
Reaction score
49
Hivi wale wabunge 10 wanateuliwa na rais wameshateuliwa wote?
 
One man naomba niwajue walioteuliwa...bangoo kumbe we cheichei
 
Zakia MEGHJI,JANET MBENA,WAZIRI WA MADINI, MBARAWA,VUAI NAHODHA,SAADA DEPUTY MOF,MBATIA......ETC!
 
Bado 3 waliokwishateuliwa ni 1 Shamsi Nahogha 2 Mbarawa 3 Zakia Meghij 4 Mbatia 5 Muhongo 6.Mbene 7.Sauda.
 
usijali katika hao watatu waliobak na wewe atakukumbuka na kukupa shavvuu....
 
Back
Top Bottom