There shall be a day! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

There shall be a day!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Omari R Nundu, May 9, 2012.

 1. Omari R Nundu

  Omari R Nundu Verified User

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Nov 11, 2007
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I dream of the day of peace and calmness,
  The day of prevailing truth and buried lies,
  The day of flourishing honesty, perfection and openness,
  A day when an innocent lamb survives slaughter,
  There will surely come that one day!

  When man and woman will walk truth,
  When child and old will sing kindness,
  When sick and healthy will embrace faith,
  When body and spirit will dance freedom,
  There surely will come that one day!

  Free to lead and free to preach,
  Free to speak, talk, listen and hear,
  Free of lies and distortions, but beneficiary of truth,
  Free of every wrong, but full of right,
  There surely will come that one day!

  A day when an innocent lamb survives slaughter,
  Amid the empty noise and aggressiveness,
  The day of peace in tranquility and humbleness,
  Whether I will be there or not is immaterial,
  But that day will surely come!

  For the record of my future presence or absence,
  Herewith the reassurance in my reiteration,
  "I vow to thee my country, all earthly things above,
  Entire and whole and perfect, the service of my love,"
  And I love you all, foes and friends alike!

  Omari Rashid Nundu
   
 2. s

  sisala Member

  #2
  May 9, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 74
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  yes, there will be a day when you Omari Rashid Nundu you will vote for CHADEMA candidates in every position in 2015 general election especialy dr. Slaa, then an innocent lamb will survive slaugheter.
  dont make mistake, vote for CHADEMA!
   
 3. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #3
  May 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Nundu again?..siku ingine ukiamua kuandika thread... please tumia kiswahili ili walengwa tukuelewe..wengi wetu tumesoma shule za kata..

  anyway time will tell.
   
 4. 911

  911 Platinum Member

  #4
  May 9, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 761
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 60
  .....When CCM will become a strong opposition party!
   
 5. dallazz

  dallazz Senior Member

  #5
  May 9, 2012
  Joined: Aug 6, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  of coz! a day will come.
   
 6. r

  republicoftabora Member

  #6
  May 9, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kaka Nundu

  sisi tuko na wewe pamoja. Japo wao wamekuondoa lakini deep down tunajua kuwa wewe ulisimama kwa maslahi ya nchi hii na hilo hatutolisahau
   
 7. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #7
  May 9, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Very good! But do you mean you dream, or you dreamt!
   
 8. IGWE

  IGWE JF-Expert Member

  #8
  May 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,750
  Likes Received: 1,326
  Trophy Points: 280
  Ya kweli haya?..anyway_mimi bado sijajua bhana,..siku nokijuzwa na kuelewa ukweli ndipo ntakua na mr.nundu,.so far so bad.
   
 9. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #9
  May 9, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Heshima kwako mkuu
   
 10. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #10
  May 9, 2012
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  A time will come for Omari Nundu to resign the post of MP as well return CCM membership card and join CDM
   
 11. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #11
  May 9, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  sijajua kama wewe ndiye Nundu huyu wa ukweli, lakini kwa vile umeamua kutumia jina hili, kubali yatakayosemwa. NAomba unijibu kwanini hukufichua uovu wa MFutakamba mapema kabla ya ripoti za CAG ambapo ungeonekana makini sana? Matokeo yake ni haya ya MAJUTO NI MJUKUU! By the way, pole sana, ukikubali madaraka ya serikali kumbuka na kuwa CHEO NI DHAMANA tu, si urithi.
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  May 9, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama kuna kitu bado kinanisumbua basi ni huu utata ulimwondoa Omar Nundu kwenye wizara inayohusika na Aviation. Sijui kuna kitu gani serikali lakini naamini kuna tatizo mahali linalozuia watu kufanya kazi kwa kadri ya utalaam wao. Na kama taifa hatutaaenda mbele bila kujua kuna nini hasa kwenye mfumo wetu? Ni nani anayeguza watu upside down?

  Kama ambavyo nilikuwa na high hopes kwa Tido Mhando na TBC ndivyo hivyo hivyo nilikuwa na matumaini makubwa na Omar Nundu with our Airline kutokana na utaalam na uzoefu wake. Wote tunajua nini kilimpata Tido Mhando na moja ya mambo tuliyopata ilikuwa ni mkataba wa TBC na Wachina wa Star Times. Tido ameondoka na madai ya Star Times yame-freeze! Sijui kuna nini huko serikalini?

  Omar Nundu anatuhumiwa na China Merchants, Naibu wake Mfutakamba anatuhumiwa na CCCC! Ukweli ni upi? Inakuwaje Waziri anakamata huku, na naibu wake anakamate kule? Pili, kuna nini hasa kati ya kamati ya miundo mbinu na wizara? Kamati ya miundo mbinu wanaonekana kuridhika na CCCC, je, wanajua kwamba hii CCCC imeondolewa kwenye list ya World Bank project kwa sababu ya rushwa?

  Maadam sasa uko nje ya ulingo pengine unaweza kuliokoa taifa kwa ku-point out critical issues ambazo kama hazitaangaliwa basi tutakwama. Lazima kuna siri nzito kwenye hii sector. Ndege zimelala chini, rail hazifanyi kazi, bandari iko under monopoly ya TICS kwa ufanisi wa kinyonga! Tunakwenda wapi?

  Pengine Mh Nundu kwa muda huu unaweza kufanya jambo moja muhimu, kumtonya Dr Mwakyembe kabla naye hajaingia kwenye mtego. Hii wizara inaweza kuwa na watu kama yule 'Kamran' anayepeleka wanyama Pakistan, na hapa ndipo naona mtihani alionao Dr Mwakyembe. Msaidie, akifeli Dr Mwakyembe ni Tanzania imefeli. Kenya wanapiga hatua na bandari!
   
 13. K

  Keil JF-Expert Member

  #13
  May 9, 2012
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Siasa za CCM ni tamu sana, mpaka zinatia raha ... yaani we acha tu!

  Lowassa aliposusa alisema ameonewa na wabaya wake na kwamba walikuwa wanaitaka nafasi ya PM ... akawaachia!
  Dr. Msabaha alisema yeye ni Bangusilo meaning "kondoo wa kafara", lakini hakumtaja mtoa kafara ni nani.
  Bwana Karamagi hakuwa na utetezi japo alisema anakubali kuachia ngazi

  Awamu hii:
  Dr. Chami alianza kujitetea kwa article moja ndefu sana, alipoona haeleweki akaongeza hoja mara anapigwa vita na CAG, mara Ofisi ya Bunge, mara Kamati ya Bunge ilimradi haieleweki. Baadaye akasema ni Katibu Mkuu wake pamoja na Bwana Ekelege ... anaondoka kwa uzembe wa watu wengine. Mbuzi wa kafara???

  Bwana Nundu naona yeye ameamua kuja na shairi kabisa ili kuweka record, ingawa huko mwanzo alisema anapigwa vita na wasaidizi wake wa Wizarani, Naibu pamoja na Katibu Mkuu na pia watu wa Bandari ambao wako upande wa wapinzani wake na pia na Ikulu nayo ilisilibwa kwa mbali, maana Mfuta-rope alikuwa anasafiri kwenda nje bila Nundu kujua, lakini Ikulu ilikuwa na habari zote. Kuna watu wamesema CCCC ni dili la mtu wa JK, kwanini Nundu hataki kufunguka???

  Maige analaani huko kwenye magazeti na ameishaweka mpaka habari/makala kwenye magazeti kuelezea mnyukano kati ya kampuni za uwindaji za ndani vs za nje. Lakini utetezi wake hauna maelezo wale twiga wetu vipi au anaogopa kumtaja mtoa kafara?

  Bwana Ngeleja yeye nadhani alijua hana siku nyingi alishajiandaa kuondoka tangu Novemba mwaka jana.

  Swali langu ni hili: Hawa wanaosema ni "mbuzi wa kafara" a.k.a "bangusilo" kwanini huwa hawamtaji mtoa kafara? Kupiga kelele huku pembeni bila kuweka record sawa wewe mwenyewe kwa kusema kila kitu, Nundu usitarajie hayo uliyoyafunga moyoni yatakuja kujifunua yenyewe. Lowasaa mpaka leo hii Richmond bado inamtesa na yeye alisema hivyo hivyo kwamba iko siku yatakuja kuwekwa wazi, that day will never come! Kwa kuendelea kuamini yatajifunua yenyewe, mnafanya mfumo wa ufisadi uzidi kuimarika zaidi, na hivyo kuendelea kufunika uvundo!

  Angalizo kwa Mawaziri waliobaki: Hii ni wake-up call kwa mawaziri waliopewa ulaji, mkiona JK anakuja na dili za kifisadi, kataeni, yatawakumba ya akina Mramba, Yona, Karamagi, Dr. Msabaha na wengineo ambao baada ya kuondolewa kwenye uwaziri kwa tuhuma za ufisadi, iliwapa mtaji wapinzani within CCM kwenye kura za maoni na hivyo kuwamwaga kiulani. Kazi kwenu!
   
 14. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #14
  May 9, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Let us be honest!

  Nundu katolewa kafara jamani, tutake tusitake.

  Alizungukwa na majambazi, wezi na isingekuwa rahisi kusurvive.

  Pole sana Mh. Nundu.

  Soon watu watatambua ukweli.
   
 15. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #15
  May 9, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Hivi kumbe Mzee Nundu kumbe uko humu JF. Mungu mkubwa. Pole sana mkuu.

  Waswahili wanasema kwenye ulaji na majungu lazima yawepo. Si unajua Ulaya haya mambo ya majungu, fitina , roho mbaya sijui roho ya korosho nini hamna. Lakini bado una nafasi ya kupigania unachokiamini hata ukiwa nje ya uwaziri.

  Tafadhali endelea kutusaidia kwa kutumia kofia yako kama mbunge ili tupate mkandarasi bora pale Magogoni.
   
 16. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #16
  May 9, 2012
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  I understand you brother.

  Sometimes walking the path of rightousness can be trying, but steadfastness and walking the path of the truth always , I say, ALWAYS pays.

  Most of us have walked that path, many years before.

  But mark my words, The Almighty, who watches above all beings will definately settle all scores and absolve you from blame.
  Most of all pray my brother, pray.

  Especially during this moment when inner strength is at its lowest ebb.

  But come five, six or ten years you will look back and thank the same Almighty for letting you pass hrough the strong winds of politics.
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  May 9, 2012
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu ustaadh O.R. Nundu, kubali tu kuwa hata kama hukula hela you were the slowest dinosaur. Simply useless.

  Nchi haitaki wazee goigoi kaa wewe, mzee mwenzako Ronald Reagan (RIP) alikuwa mzee lakini alipanga watu wake vizuri mbele yake wafanye kazi na anasifika mpaka leo kwamba ni miongoni mwa rais mahiri kabisa USA. Nliposkiaga tu utetezi wako kuhusu wikileaks kuhusu uagizaji wa ndege nkaona tu wewe uko slow na hujui kuwa hujui.

  Mi naona kheri umepumzishwa, maana hata huu utetezi wako na mashairi unautoa when it is too late, tena kwa mafumbo. Kwa kifupi huna jipya.
   
 18. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #18
  May 9, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Junior Member Array Join Date : 11th November 2007
  Posts : 3
  Rep Power : 0
  Likes Received: 7 Likes Given: 0

  Yawezekana huyu ni Nundu kweli
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  May 9, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  boy oh boy....

  huwezi kumtoa nyoka pangoni, hadi umwagie petroli

  karibu tena
   
 20. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #20
  May 9, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  My brother,

  I advice you to drop all party(CCM) activities and go back to your academic professional!

  You have big and competitive CV and i don't think if politics was a right place for u.

  I felt sorry for what was happened.


  Tume ya katiba. (Zanzibar)
   
Loading...