Serikali yavumbua jina jipya la semina elekezi, Sasa kuitwa "MTIHANI" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali yavumbua jina jipya la semina elekezi, Sasa kuitwa "MTIHANI"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tume ya Katiba, May 10, 2012.

 1. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Wadau kuanzia sasa hamtasikia neno semina elekezi tena maana serikali yetu sikivu imebadilisha jina

  Akizungumza na waandishi wakati wa kutajwa majina ya wakuu wa mikoa Pinda alisema,

  “Tumetoa wiki moja, wakuu hawa wajiandae kwenda kwenye vituo vyao vya kazi, watatakiwa kuapa mbele ya mkuu wa mkoa halafu tutawapatia mafunzo kwa wiki mbili pale Dodoma tena nimewaambia watu wa Tamisemi wawape mtihani kabisa,”

  Alisema mafunzo hayo yatawahusisha pia wakuu wote wa mikoa na makatibu tawala wote. Alisema: “Sitaki iitwe semina. Ndio maana nimesema wapewe mitihani
  .

  Sosi: ippmedia.com
   
 2. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  I liked your sarcastic applause of your gov't!
   
 3. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii mpya!
   
 4. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,795
  Trophy Points: 280
  Yaani kugeuza geuza maneno ndio umekuwa umahiri wetu toka tupate uhuru...imagine kilimo cha kufa na kupona, kilimo uti wa mgongo wa mtanzania, kilimo kwanza na maneno mengine yanayofanana na hayo.
   
 5. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,223
  Likes Received: 7,345
  Trophy Points: 280
  Semina, warsha, Kongomano, jumuiko sasa Darsa..
   
 6. only83

  only83 JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Hivi Pinda alibaki kama waziri mkuu kwa vigezo gani?
   
 7. m

  mchambakwao Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2011
  Messages: 77
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Dah! Wakivurunda tutasema kuwa WAMEFELI MITIHANI
   
 8. J

  JacksonMichael JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2012
  Messages: 339
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwe na subira mkuu, haiwezekani ukapewa nafasi ya uongozi bila semina.
   
Loading...