Wabunge wa mkoa wa DSM kumbana mkurungenzi mkuu wa NHC (Nehemia Msechu)

Yule

Member
May 4, 2012
14
5
Leo wabunge wa mkoa wa DSM pamoja na mkurugenze mkuu wa NHC watafanya mkutano na wakazi wa Ubungo NHC. Wabunge hoa watataka kujua ujenzi unao endelea hapa ubungo kama umefata taratibu zote za ujenzi maana sasahivi ukipita katikati ya haya magorofa ni hatari tupu, vile vile wabunge watataka kufahamu kuusu uzwaji wa magorofa ya zamani maana mswada ulisha pitishwa bungeni tangu mwaka 2005 kama wakazi wa ubungo wauziwe izo nyumba. Wapangaji wa ubungo NHC wamejikusanya kwa wingi wakiwasubiri wiongozi hao wafike ili kikao kianze. Kama Msechu hakishindwa kujieleza vizuri, wabunge hao wamepanga kukwamisha bajeti nzima ya wizara ya mama Tibaijuka!
 
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kujenga nyumba jimbo la ubungo haina maana ni nyumba za wakazi wa ubungo.

Mtanzania yoyote anaweza kuzinunua.

Ningekuelewa tu kama ungesema kipiumbele kingekuwa kwa wapangaji wa nyumba hizo lakini si wakazi wote wa ubungo.
 
Kama ujenzi haukufuata taratibu wabunge hao walikuwa wapi hadi ghorofa zimekwisha ndipo wanaanzisha mapambano? Hawajui wajibu wao?

Wanataka ghorofa zivunjwe au wanataka kuonyesha kwamba Mkurugenzi wa NHC hakuwajibika? na wao hawakuwajibika.
 
Tangia wabunge waliponyimwa posho na serikali wanauma na kubweka kama mbwa mwenye kichaa.

Hivi hakuna mwenye mbwa hawa awachome sindano ya kuzuia kichaa?

Hawakubweka wakati msingi wa nyumba unachimbwa wanabweka wakati mwizi kakimbia.
 
Mbunge wa Ubungo na Diwani wa kata ya Ubungo walikuwa nazo taharifa kabla ujenzi haujaanza na waliahidi wangelifuatilia.
 
Sio nyumba izi zinazo jengwa sasa, nyumba ambazo wakazi wa ubungo wanataka wauziwe ni izi za zamani (magorofa) amboza bunge walipisha tangu 2005.
 
, vile vile wabunge watataka kufahamu kuusu uzwaji wa magorofa ya zamani maana mswada ulisha pitishwa bungeni tangu mwaka 2005 kama wakazi wa ubungo wauziwe izo nyumba. !

Kuuziwa sio tatizo watapewa form wajaze, maana NHC imekuwa inatangaza sana nyumba zake kwenye radio na magazeti. Swali je wataweza kununua?
 
- Hao Wabunge hawawezi ambulia kitu, Mkurugenzi wa NHC ni kichwa sana, laiti tungekuwa na viongozi kumi tu kama yeyey hili taifa, tungepaa sana hili taifa kiuchumi!, alipaswa kupewa uwaziri!

-MUNGU AMBARIKIE SANA!
 
Kuuziwa sio tatizo watapewa form wajaze, maana NHC imekuwa inatangaza sana nyumba zake kwenye radio na magazeti. Swali je wataweza kununua?

Kwa izi nyumba zinazo jengwa sasahv zimeshaisha na hataivyo bei zake wakazi wa ubungo walichemsha maana appartment moja ilikuwa inauzwa aprox 68M bila VAT. Nyumba ambazo wakazi wa ubungo waliomba wauziwe ni izi za zamani
 
Tatizo lako Wiliam Malecela unasifia tu hata bila kufuata logic ya hoja hata kama kuna total blundering.Kama kazi yako ya utarishi nje imechoka na kuamua kurudi kwa kisingisio cha kugombea ubunge wa EAC kwa ajili ya kuzuga tu tafadhali usiharibu maana na credit nzima ya jf.Endelea na kazi yako hiyo wajanja tunajua kazi yako ni nini.
 
- Hao Wabunge hawawezi ambulia kitu, Mkurugenzi wa NHC ni kichwa sana, laiti tungekuwa na viongozi kumi tu kama yeyey hili taifa, tungepaa sana hili taifa kiuchumi!, alipaswa kupewa uwaziri!

-MUNGU AMBARIKIE SANA!

Aisee-

Kila afanyaye wajibu wake vizuri kumbe anastahili apewe uwaziri?

LOOSER-
 
- Hao Wabunge hawawezi ambulia kitu, Mkurugenzi wa NHC ni kichwa sana, laiti tungekuwa na viongozi kumi tu kama yeyey hili taifa, tungepaa sana hili taifa kiuchumi!, alipaswa kupewa uwaziri!

-MUNGU AMBARIKIE SANA!

Tungepaa kuelekea chiloonwa, baba yako alishindiwa nini, una maana mdingi kichwa cha panzi sio!
hamuwezi kuifanyia lolote la maana tz.
sikutarajia ungefichua jinsi akili yako alivyo athiriwa na kuyumba kwa meli. kkhhhaaaa. . . . . . . . . . likupate hukohuko uliko . . . .phooooo!
 
- Hao Wabunge hawawezi ambulia kitu, Mkurugenzi wa NHC ni kichwa sana, laiti tungekuwa na viongozi kumi tu kama yeyey hili taifa, tungepaa sana hili taifa kiuchumi!, alipaswa kupewa uwaziri!

-MUNGU AMBARIKIE SANA!

Kuna tofauti kubwa sana kati ya mwili wako na uwezo wako wa kufikiri......
 
Tangia wabunge waliponyimwa posho na serikali wanauma na kubweka kama mbwa mwenye kichaa.

Hivi hakuna mwenye mbwa hawa awachome sindano ya kuzuia kichaa?

Hawakubweka wakati msingi wa nyumba unachimbwa wanabweka wakati mwizi kakimbia.

kuchelewa kukemea/kuhoji hakufanyi kosa kuwa halali,
nakuombea hiyo mimba ikue haraka manake imekumalizia busara kabisaaaaaa. zamani uliambatana na ujinga, siku hizi mshkaji wako "pumbavu" uwe mjuvi wa kiswahili kunielewa
 
Heshima yako mkuu Malecela Jr.!
Nakushauri tena. NI VEMA UKATAFITI KABLA HUJASEMA. Itakusaidia sana siku za usoni ukizingatia umeamua kuingia kwenye ulingo wa siasa.
Take time kusoma nyakati na tabia za watu. Nenda ongea na wafanyakazi wa NHC. Pima ahadi zake za kujenga nyumba elfu 15 in 4 years na amefikia wapi. Angalia makandarasi wanaojenga wamepataje kandarasi hizo.
Just a hint, kama bado uko Dodoma, tembelea ule mradi ujionee ya Firauni...............
Usivutiwe na kauli za mdomoni. Media mogul Maxwell alikuwa fundi sana wa kushawishi kwa hoja...........
Kuna mtu humu JF aliwahi kusema " A trick of the tongue can fool the ear........"
 
Uwezo na ubunifu wa mkurugenzi mkuu wa NHC hauna shida. He is good upstairs. Tatizo alilonalo ni lile lile, ameshaanza kusoma vi-memo vya masharobaro! Asipokuwa makini tutasikia scandal nyingine.
 
DG kwa upande mmoja anastahili pongezi. Ningependa kumpa ushauri wa wa jinsi ya kuweza kuendeleza NHC.

  • Angeacha kuvunja nyumba za zamani na kujenga mpya zenye ghorofa nyingi. Tanzania haina shida ya ardhi. NHC ikishirikiana na wizara mama, wangeanzisha miji mipya , iliyokuwa imepimwa vizuri kwenye maeneo kama Buyuni, Kigamboni, Boko. Majengo haya mapya yasizide ghorofa tano. Wajenge pia (kwenye haya maeneo mapya) facilities kama shule, hospital. Kujenga 14 floors building ina cost 30 billion tshs. Ukipeleka hizi kwenye maeneo mapya , alot will be done.
  • Angefanya stock of what he has (land and majengo)
  • Kama kubomoa na kujenga , afanye hivyo kwa uangalifu sana. Asiwafuate wahindi. Wale waliwahi. Kwa sasa hata wale waliyinunua nyumba , hawajapata tenants. Vilevile infrastructure haipo. DG pita mtaa wa MIndu usiku (saa mbili) kuangalia situation ikoje. Ziko nyumba nyingi katika stages mbalimbali za ujenzi. Can you compete?
  • kama utabomoa , jenga nyumba zenye floor chache (max 5). Nina uhakika kuwa utapata soko kwa haraka zaidi
 
Back
Top Bottom