CHADEMA yazoa wana-CCM Magu

Molemo

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
14,534
13,225
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kimekidhoofisha Chama Cha Mapinduzi-CCM wilayani Magu kwa kupukutisha wanachama wake 55 ambao wamejitoa katika chama hicho na kujiunga na CDM.Tukio hilo lilitokea katika operesheni M4C iliyoongozwa na diwani wa kata ya Magu Zena Zacharia aliyehutubia mikutano mbalimbali katika kata tofauti za jimbo la Magu.Wanachama hao waliohamia CDM ni kutoka kata za Mwamanga,Nyigogo,Nkunguru,Mwamabanza na Magu mjini.Katika operesheni hiyo pia vyama vya NCCR,CUF na UDP vilikimbiwa na wanachama 12 waliojiunga na CDM.
Wachunguzi wa mambo ya siasa jimboni Magu wanasema CDM ndicho chama kinachokubalika zaidi jimboni Magu kuliko chama chochote kwa hivi sasa.

Source:Mwananchi Alhamisi uk.14
 
Safi sana MAGAMBA kwishney! Bado tuende kisiwa cha nkome tuchukue wanachama wa Magambazzzz
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kimekidhoofisha Chama Cha Mapinduzi-CCM wilayani Magu kwa kupukutisha wanachama wake 55 ambao wamejitoa katika chama hicho na kujiunga na CDM.Tukio hilo lilitokea katika operesheni M4C iliyoongozwa na diwani wa kata ya Magu Zena Zacharia aliyehutubia mikutano mbalimbali katika kata tofauti za jimbo la Magu.Wanachama hao waliohamia CDM ni kutoka kata za Mwamanga,Nyigogo,Nkunguru,Mwamabanza na Magu mjini.Katika operesheni hiyo pia vyama vya NCCR,CUF na UDP vilikimbiwa na wanachama 12 waliojiunga na CDM.
Wachunguzi wa mambo ya siasa jimboni Magu wanasema CDM ndicho chama kinachokubalika zaidi jimboni Magu kuliko chama chochote kwa hivi sasa.

Source:Mwananchi Alhamisi uk.14

Mnavua Magamba lakini kuweni makini kwani uwezekano WA kuvuna mafisadi ni mkubwa sana tu....kwani Fisadi hana alama.
 
hATA WAKIWA MAFISADI WAKIFIKA CHADEMA WATAUNGAMA NA KUWA WATU SAFI. WENJE ALIKUWA CCM - KWA SASA NI MBUNGE KWA TIKETI YA CHADEMA - UNAJUA ANAVYOWASAIDIA WATU WA NYAMAGANA?
 
ukitaka kumpiga nyani, usimwangalie usoni,kwani anatia huruma.Hao magamba ni kuwasambaratisha tu!!
 
This ie exellent!! Big up kwa huyu Diwani na hii ndiyo kitu kinachohitajika, jamani kila mmoja wetu ajaribu kutekeleza hii M4C katika ngazi mbalimbali e.g. ofisini, nyumbani, safarini, nimefarijika sana kwani ukija hata home kwangu everybody is talking about CDM - TUMAINI JIPYA!
Tukisubiri viongozi wa Taifa waende kila sehemu tutachelewa!
Imagine my little sister is on her way from Arusha to Dar katakati ya safari akampa Konda CD za tumaini jipya ili watu waone anasema everybody is excited na kizuri zaidi anazo nyingi hivyo njia nzima wanaburudika na CDM anasema kila mtu yuko very supportive! Wadau please kila mtu ajitahidi kuunga mkono chama chetu kwa bitendo. Ukombozi u karibu.
 
Wajameni nitapata wapi hiyo CD ya tumaini Jipya!!!
 
Kama kila diwani talete wanachama 12, wabunge wanachama 12x12= 144 kwa mwezi basi hadi iifika 2015 ccm lazima iondoke madarakani
 
TanzaniaCDM.jpg
Walisema vyama vya mzimu!! sasa sumu inazidi kusambaa!! bado kidogo tutaanza kusema peoplessss hata ukiwa Dar, mwitikio unausikia nchi nzima!!
 
Hii kasi inanifanya niamini kuwa 2015 hakutakuwa na upinzani ndani ya bunge, jambo ambalo ni hatari kwa afya ya siasa.
Majimbo yote yakienda CDM Tanzania itakuwa ulaya ya Africa.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kimekidhoofisha Chama Cha Mapinduzi-CCM wilayani Magu kwa kupukutisha wanachama wake 55 ambao wamejitoa katika chama hicho na kujiunga na CDM.Tukio hilo lilitokea katika operesheni M4C iliyoongozwa na diwani wa kata ya Magu Zena Zacharia aliyehutubia mikutano mbalimbali katika kata tofauti za jimbo la Magu.Wanachama hao waliohamia CDM ni kutoka kata za Mwamanga,Nyigogo,Nkunguru,Mwamabanza na Magu mjini.Katika operesheni hiyo pia vyama vya NCCR,CUF na UDP vilikimbiwa na wanachama 12 waliojiunga na CDM.
Wachunguzi wa mambo ya siasa jimboni Magu wanasema CDM ndicho chama kinachokubalika zaidi jimboni Magu kuliko chama chochote kwa hivi sasa.

Source:Mwananchi Alhamisi uk.14

Taratibu tukiikamata kanda ya ziwa tunashuka kanda ya kati hapo ndipo kuna kazi kubwa
 
Mnavua Magamba lakini kuweni makini kwani uwezekano WA kuvuna mafisadi ni mkubwa sana tu....kwani Fisadi hana alama.

Fisadi ni mfumo sorry to say that hata wewe ukiwa patamu na wenzako wanakula nawe utakula tu. Ila kwa kuwa hiyo CHADEMA hakuna hofu ondoa mkuu. Vuaaa Gamba Vaaa Gwanda
 
hakika ccm inakufa tunaiona busega ndiyo usiseme maana wananchi hawamtaki mbunge wao maana kikwete wakati wa kampeni aliwadanganya wazee wa busega kwamba wakimchagua yeye pamoja na mbunge wa ccm atawapatia zawadi ya uwaziri wazee wakaingia mkenge wakamhonga ng,ombe wanne kama sante sasa wazee wanamsubili kamani wamudai ng,ombe zao je silaa unajua hilo?
 
Hii kasi inanifanya niamini kuwa 2015 hakutakuwa na upinzani ndani ya bunge, jambo ambalo ni hatari kwa afya ya siasa.
Majimbo yote yakienda CDM Tanzania itakuwa ulaya ya Africa.

Naamini hili usemalo Kamanda!
Tutakuwa tumejua mbivu na mbichi

Kudadekiiiiiii!!
 
Back
Top Bottom