Nimefarijika sana....Asante sana Dr.Slaa...

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,802
Leo,majira ya saa tano asubuhi,nilikuwa viunga vya Wizara ya Ardhi.Nilikuwa kwenye harakati zangu za kikazi kushughulikia wateja wangu.Mara,akajitokeza Dr.Willbrod Peter Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Tukawa tunapishana kwenye ngazi:yeye anashuka,mimi napanda. Alikuwa ana Mlinzi wake mmoja aliyevalia suti nyeusi.Nikamsalimu.Akaitikia.

Nilihisi furaha isiyo na kifani moyoni mwangu.Kupishana na mtu makini ambaye nilimpigia kura yangu ya Urais na 'kumshindisha' ,tena kwa umbali kama ule,ni jambo kubwa kwangu.Dr.Slaa bado anadai.Nafasi yake yake bado ipo wazi.Kwa kifupi,nimefarijika sana...asante Dr.Slaa hata kwa kuniitikia salamu yangu tu...
 
pia kukubali kuacha ubunge,chadema imepata mafanikio makubwa sana!inaonyesha jinsi asivyo na uroho wa madaraka
 
Hata mimi nilikutananaye pale Wizara ya Ardhi sio leo ilikuwa jumatatu nadhani kuna kitu anafuatilia pale,but nilimuona Dr slaa kadhohofika sana,nadhani ni uzee sasa..kwa kweli anahitaji kupumzika muda mwingi ili awefit kuelekea 2015.
 
Hata mimi nilikutananaye pale Wizara ya Ardhi sio leo ilikuwa jumatatu nadhani kuna kitu anafuatilia pale,but nilimuona Dr slaa kadhohofika sana,nadhani ni uzee sasa..kwa kweli anahitaji kupumzika muda mwingi ili awefit kuelekea 2015.
Nadhani anashugulikia hati za lile jengo la makao makuu ya CHADEMA alilojitolea Sabodo. Jamaa ana uchungu na nchi ndio maana yuko mstari wa mbele wa mapambano muda wote. Unafikiri hana mialiko ya kwenda kwa wazungu kama JK na Lipumba? Anayo lakini ameweka Tanganyika Kwanza!
 
eh! bwana si uongo,kiukweli Dk watu wanamzimikia sana.one time nilibahatika kufika maeneo anayoishi jamaa niliekuwa nae akanambia hapa ndipo anapoishi Dk,

ee bana nilishtuka afu nikajihisi mmoja ya wenye bahati.nilitamani niingie hata nimpongeze kwa mwekundu mmoja (10000/=)

lakini mahali pale pako very private so nikawa mpole tu,Ukweli Mungu ampe Hekima,Maarifa na Furaha Amen.
 
Leo,majira ya saa tano asubuhi,nilikuwa viunga vya Wizara ya Ardhi.Nilikuwa kwenye harakati zangu za kikazi kushughulikia wateja wangu.Mara,akajitokeza Dr.Willbrod Peter Slaa,Katibu Mkuu wa CHADEMA. Tukawa tunapishana kwenye ngazi:yeye anashuka,mimi napanda. .....
Dah,umenikumbusha mbali sana,wishing Dr. Slaa a long life. God bless CDM
 
machozi yanitoka, kwa furaha iliyoingia moyoni kwangu.. i wishi ningemuona mimi... siku moja nilikuwa kwenye gari yangu, nikakutana nae ubungo mataa yupo kwenye foleni, nataka kumpa hi, taa zikaruhusu, akatokomea... nilijihisi kama naingia peponi.... dahaaaa Live long and prosper Dkt
 
Back
Top Bottom