Mkuu wa Wilaya KAZI ZAKE ni zipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa Wilaya KAZI ZAKE ni zipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ulukolokwitanga, May 10, 2012.

 1. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Wataalam wa katiba naomba mnijuze
  1. Zipi hasa kazi za mkuu wa wilaya?
  2. Anatakiwa awe na sifa zipi hasa ku qualify kwa hiyo kazi?
  3. Je anakuwa na WORKPLAN ya shuguli zake? Yaani kwa mfano mkuu wa wilaya akiingia ofisini asubuhi hadi anatoka jioni anakuwa amefanya kazi zipi na zipi? (in a normal business day)
  4. Ufanisi wa mkuu wa wilaya unapimwa vipi?

  Nimefikia hatua ya kuuliza hivi baada ya kupitia orodha ya wakuu wa wilaya na kukuta wana sifa, uzoefu na viwango tofauti vya elimu. Wapo wanajeshi, waandishi wa habari, wafanyabiashara, wakulima na watumishi wa kada mbalimbali. Kwa watu wa sifa mbalimbali kuteuliwa kufanya kazi ya AINA MOJA ndio imenipelekea kutaka kudadisi hapa jukwaani kazi hasa ya mkuu wa wilaya. Kama ni kuongoza ulinzi na usalama kwa nini wasiwe wanajeshi na polisi wastaafu, kama ni kuhamasisha Kilimo kwa nini wasiwe mabwana shamba, kama ni kukuza biashara kwa nini wasiwe wataalam wa biashara??? Nimejiuliza weeeee na kushindwa kupata jibu.

  Pia kwa serikali kulipa mishahara ya kima cha juu kwa watumishi wapya 133, na kuwanunulia VX V8 133 kwa ajili ya kufanyia shuguli zao ni BUSINESS DECISION ya hali ya juu sana. Je kutakuwa na RETURN ON INVESTMENT inayotokana na kodi zetu kutoka kwa hawa wakuu? Naomba nisaidiwe ndugu zangu wanajamvi...
   
 2. Kiona

  Kiona JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 936
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Kazi zake ni kula hela za serikali za mitaa akisaidiana na mkurugenzi. Na pia kumwakilisha Rais katika ulaji huo wa hela na kuuza raslimali za wilaya husika kwa mhindi,mwarabu,mzungu na kama kuna mchina anajiweza anakaribishwa pia.

  Hii iko kwenye ilani ya Magamba
   
 3. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Niliwahi kushuhudia katika halmashari flani mkuu wa Wilaya anaomba mafuta ya gari kwa mkurugenzi na akapewa, Sijui yalitoka kifungu gani. Pinda jana amesema wakuu wa wilaya eti watasaidia kuwabana wakurugenzi mafisadi, sijui kama hii iko kwenye Katiba
   
 4. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hivi hakuna Mkuu wa wilaya asiye na wilaya maalum??

  JK haishi vituko, hakawii kumchagua Mkuu wa Wilaya asiye na wilaya maalum!!!

  Yani anakuwa na mtu wake ambaye amekosa pa kumuweka, anampa tu cheo cha ajabu ajabu!!
   
 5. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Hahahahaaa!!!!!
  Kwahiyo kabla ya uteuzi huu, kulikuwa hakuna ma DC mpaka Wakurugenzi wakatafuna hela??

  :loco:
   
 6. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Ha ha haaaa, hii itakuwa kali ya kidunia. Lazima itaingia kwenye Guiness Book of Records
   
 7. MANI

  MANI Platinum Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,861
  Trophy Points: 280

  Mara nyingi nyingi tunaambiwa kuwa tunaposema maneno yetu tukumbuke kama yanaendana na hali halisi !
   
 8. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Kimsingi hutambuliwa kama
  1. Mwakilishi wa Rais ngazi ya wilaya
  2.Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya wilaya
  3. M/
   
 9. Ileje

  Ileje JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 3,872
  Likes Received: 1,658
  Trophy Points: 280
  Kuimarisha matawi ya CCM katika wilaya!
   
 10. Ambitious

  Ambitious JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Tusiumize vichwa hakuna logic yoyote kwenye argument zao za kifisadi.
   
 11. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Kuhamasisha michango ya mwenge,,..
   
 12. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,418
  Likes Received: 3,905
  Trophy Points: 280
  Inakuwaje kodi zetu kwa mabilioni zitumike kuhamasisha michango ya mwenge wakati kuna baadhi ya maeneo Mwenge huwa unachangia kuenea kwa UKIMWI kutokana na ngono zinazofanyika mkeshani. Katiba mpya inabidi iwatolee macho hawa ma DC ikiwezekana hii nafsi isiwepo kwani haina tija kabisa
   
 13. Sorrow to Joy

  Sorrow to Joy JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Jan 22, 2012
  Messages: 293
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  FANCY NKUHI kutoka katika ulimbwende hadi uDC
   
 14. B

  Babu Ubwete Senior Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Jan 26, 2008
  Messages: 169
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndg. Umeongea neno la msingi na maana kubwa. Nadhani hawa wanazidi kutumia pesa ya mlipa kodi kwa kwenda kuanagalia Aljazeera,CNN,Press,Euronews,MSNBC,Bloomberg etc maana ofisini wana conference table na Samsung Flat scrns. Plus V8 TD Land Cruiser SUV type.
   
 15. mzee wa miba

  mzee wa miba JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 763
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa wilaya kazi zake kubwa ni
  1.kulinda maslahi ya Chama chake,
  2.Kudumaza maendeleo ya wananchi
  3.Kuchochea migogoro katika jamii.
  4.Kulinda maslahi ya aliyemteua.
   
 16. A

  Anne deo JF-Expert Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: Jul 10, 2011
  Messages: 470
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Sijafanikiwa kuiona iyo list,ila i waz asking kama yule DC wa IGUNGA kama bado yupo au kapigwa chini??
   
 17. M

  MERCYCITY JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 348
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 60
  Kulinda chama cha magamba kisije kikafa
   
 18. N

  NYAMKANG'ILI JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 223
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Ma DC hawana kazi kwa TAIFA, yaani hawana kazi ya kusaidia wananchi tofauti na kuchelewesha wananchi hao kupata suluhu ya matatizo yao. WANANCHI wanaamini kuwa kuna kitu DC anaweza kumsaidia, wakati ukweli ni kuwa hakuna. WANANCHI kwa kutumia imani hiyo, wanapeleka matatizo yao kwa ma DC. MADC nao hawawaambii wananchi kuwa 'mimi sina cha kukusaidia', DC anakaa kimya, lakini hakuna ananchomsaidia MWANANCHI mwenye tatizo. MATATIZO yanarundikana na wananchi wanaanza kuichukia serikali. MKURUGENZI ndiye mwenye msaada kwa wananchi, anatatua matatizo yao.

  ILA kwa MAGAMBA, oooh DC anakazi nyingi sana: (1) kuchakachua matokeo; (2) kukandamiza upinzani; (3) kukusanya na kuwasilisha taarifa (KWA KUSHIRIKIANA NA TISS, DSO) za uongo, umbea nk za watumishi wanaoipinga CCM Wilayani kwake na kuiwasilisha kwa MAGAMBA; (4) njia ya kupitisha pesa za SERIKALI/WANANCHI kwenda kwa MAGAMBA; (5) mtetezi wa sera za MAGAMBA; na (6) 'viburudisho' vya wakubwa ktk MAGAMBA wakati wa ziara. KAZI ni nyingi ...
   
 19. m

  makungas Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hawa ni wanachama wa CCM wanaopewa ulaji ili kukipigania chama kwa ngazi yao ,kazi yao kubwa ni kula pesa za halmashauri na kula chakula cha bure toka kwa wakulima na nyama ya bure toka kwa wafugaji.wote ni wana CCM hakuna utendaji wala uzalendo ni usanii tu lakini siku zao zinahesabika...................2015!?
   
 20. Fredrick Sanga

  Fredrick Sanga JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Jan 27, 2011
  Messages: 3,148
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hawahitajiki kabisa, Mbunge na DAS na mkurugenzi wanatosha. Hawa ni makada tu wa siasa uchwara. Restructuring is inevitable. Afadhali hizi nafasi zingeongezwa shule za kata. Walimu wakaungezewa marupurupu, sio hawa.
   
Loading...