Vipi Kuhusu Ma-trilioni yetu waliyoiba??

Simchezo

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
445
345
Wadau naona hawa jamaa wa ccm wanajaribu kutubadilishia movie kijanja, tunahitaji na ni lazima tuibane serikali iwakamate mawaziri, makatibu wakuu, wakurugenzi na wote waliohusika kutuibia matrilioni yetu, hizi ni kodi zetu wote jamani!! Nashauri once wakikamatwa na kupelekwa mahakamani mali zao zote na za watoto wao zizuiwe immediately! CDM na wengine tunasubiri muongozo!!!!
 
Umenena mkuu watueleze chenchi ya rada imeenda wapi na ni nani alipiga hilo dili, bila kusahau richmond, dowans, iptl, epa
Wakimaliza waje mezani tuwaeleze ubovu wa huu mfumo na uzuri wa serikali za majimbo(ambazo zinatumiwa na wafadhili wao) ila wanakuwa kichwa ngumu kutokana na uvivu wao wa kufikiri
 
Back
Top Bottom