Nape Nnauye: Katika hili nawe umekosea | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nape Nnauye: Katika hili nawe umekosea

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, May 10, 2012.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Nape Nnauye
  Kwakuwa ipo nchi ya Sudani na
  Sudani Kusini, Je wewe Mtanzania
  uko nchi gani, Tanzania au
  Tanzania Kaskazini?!! Kataa
  Ubaguzi, Kataa Chadema!!
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Ukiugua degedege ukubwani ni tatizo kubwa sana pole sana Nape
   
 3. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,913
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  hakika Nape ni mgonjwa.
   
 4. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  kama mnachuma kahama, mnajenga dar es salaam unawataka watu wa kahama wasemeje, ni ujinga kufikiri ubaguzi ni kosa. nikuambie hapo awali AFRIKA ilikuwa moja ikiitwa ALKEBULAN, leo kuna vipande vya nchi vilivyogawanywa na wazungu, ALKEBULAN yenu ikaitwa afrika, gombaneni na hilo kama mna mzizi wa kuijua historia.
  Mkishindwa kusimamia matumizi sahihi ya mali zenu hamuwezi kuepuka mgawanyiko.
   
 5. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,782
  Likes Received: 36,777
  Trophy Points: 280
  kuitetea CCM inahitaji uwe na akili ya maiti.
   
 6. p

  pinguli Senior Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nassar is fool like any other fools behind him....
   
 7. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,528
  Likes Received: 882
  Trophy Points: 280
  Je hii sio divisive ?
   
 8. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,196
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Nape hata kabla hajaongea ameshakosea!!
   
 9. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #9
  May 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Nape ana ugonjwa wa safura, uwezo wa kufikiri umekuwa chini sana, tofauti na mkama haupo wako equal.
   
Loading...