Chadema sasa itoke vipi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema sasa itoke vipi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr Emmy, May 10, 2012.

 1. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Kutokana na siasa za msimu za Tanzania; wachambuzi wa mambo sasa wanajiuliza sasa chadema itatoka na singo gani ama agenda ipi baada ya agenda zake kuchuja. Wiki moja iliyopita CDM ilivuma na singo ya kubadilisha baraza la Mawaziri but agenda hiyo imechuja baada ya JK kubadili baraza la mawaziri. Agenda na nyimbo nyingine zilizochuja ni zile za kampeni ya Vua Gamba vaa Gwanda ikiwa ni pamoja na wanachama maamluki wa ccm kuhamia chadema, agenda hiyo imeshazoeleka maskioni mwa wa Tanzania na hivyo kuwa haina mvuto.

  Kwasasa CDM inatapatapa kuwasafisha wachaga na wanaarusha wanaotaka kupotoshwa na Nasari ambaye anatangaza kujitenga kwa kanda ya kaskazini huku akijua wachaga ndio kabila linaloongoza kuzagaa na kumiliki mali na vitega uchumi katika mikoa yote ya Tanzania na hivyo kabila hilo kwasasa linajipanga rasmi kuitosa chadema kutokana na kauli zinaweza kuhatarisha biashara na maisha ya wachaga walio nje ya Kilimanjaro na Arusha kwani ndio waliowengi na wanaongoza kwa kipato kuliko wachaga waliobakia milimani

  Njia nyeupe sasa kwa CCM kuendeea kutawala Taifa la Tanzania baada ya agenda zote za Chadema Kuchuja kwa Mpigo na umaarufu wa viongozi wake wa kuu hasa Dr Slaa kuendelea kufifia.

  Wasukuma wagoma kuunga Mkono kauli ya Nasari ya kujitenga
   
 2. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #2
  May 10, 2012
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  duuu kweli nchi hii ina vichwa kama hiki ni kichwa cha aina yake!
  :loco::loco:
   
 3. NG'OMBE

  NG'OMBE JF-Expert Member

  #3
  May 10, 2012
  Joined: Mar 26, 2011
  Messages: 362
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kalale, ukiamka utakua umepata cha kuandika.
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  May 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Haya kale buku 2 kwa nape.
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  May 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Akili yako..unataka kututeka kisaikology kuwa wachaga watatutosa eee,.CHADEMA SI CHAMA CHA WACHAGA SO HATA WAKITUTOSA HAKUNA NOMA BT chadema itatoswa na watanzania ote kama hawakitaki na si leo.hoja yako kama TUNTEMEKE
   
 6. N

  Newvision JF-Expert Member

  #6
  May 10, 2012
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 448
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nadhani kama wewe huna akili timamu basi kaa kimya wasikize wenye kuwaza na kuwazua. Hii siyo issue ya kuja nayo sasa
   
 7. M

  Mr Emmy JF-Expert Member

  #7
  May 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,201
  Likes Received: 289
  Trophy Points: 180
  Kauli ya Nasari Wazee wa Kichaga wapanga kukitosa Chama, Mbowe ahaha kukisafisha
   
 8. Capt Tamar

  Capt Tamar JF-Expert Member

  #8
  May 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2011
  Messages: 6,663
  Likes Received: 3,317
  Trophy Points: 280
  Chagua kimoja either bangi ama ugoro!matokeo ya kuchanganya ndiyo haya.
   
 9. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #9
  May 10, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Mitoa thread hizi ndizo taarifa zako Join Date : 12th March 2012 Posts : 140 Rep Power : 337 Likes Received 13, Likes Given 10 unajijibu ili kuongeza uchangiaji wako. Mnachokosea toeni kauli zenu msidandie mara Wazee wa kichaga, wewe ****** unasemaje? Au ni ile mna jina la rais wa 2015 ambaye hatikiwi atoke kaskazini?
   
 10. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #10
  May 10, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Kubwa jinga at work!
   
 11. S.Liondo

  S.Liondo JF-Expert Member

  #11
  May 10, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 2,160
  Likes Received: 675
  Trophy Points: 280
  Wewe ni mwongo na hili hata mtoto haitaji kusaidiwa kulijua.
   
 12. AdvocateFi

  AdvocateFi JF-Expert Member

  #12
  May 10, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 10,705
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  mkuu leo ni happybirthday yako nn?
   
 13. M

  Mboko JF-Expert Member

  #13
  May 10, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 1,067
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hivi watu kama hawa wapo miaka hii duuh ni noma aiseee sijapata kuona hivi mtu kama huyu anatokea wapi?hivi kweli ni raia halisi wa Tanzania au anatokea Somalia au Iran maake hata nimeshindwa kuelewa hii issue yake kweli hata maandiko yanasema tuwasamehe kwa kuwa hawajui walitendalo.Pole sana uliyeleta hii mada nasikitika sana huenda ukawa una matatizo ya ugonjwa wa akili so nakushauri tu ukapate ushauri wa Doctor kabla hujaanza kufanya vitu vya ajabu nina uhakika huenda ukapelekwa Lutindi kwenye Hospital ya wagonjwa wa akili na pale wanaweza kukukataa kwani watasema huyu moja kwa moja MIREMBEEEE maake ukoo juu.
   
 14. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #14
  May 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Umempendelea..,hilo ni Gamba @ work...
   
 15. F

  FJM JF-Expert Member

  #15
  May 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kurugenzi ya mawaziliano Ikulu imegeuka kuwa kurugenzi ya mawaziliano ya familia, Idara ya habari na uenezi ya CCM imegeuka na kuwa idara ya habari na uenezi ya CHADEMA.

  Ni lini na toka kwa nani watanzania watapata taarifa juu ya mikakati ya kuinua huduma za afya, elimu, ajira, ulinzi na usalama, au usafiri wa anga na reli? Ni lini CCM itawaeleza wananchi juu ya utekelezaji wa ilani yake ya uchaguzi? Ni lini wananchi wataambiwa juu ya utekelezaji wa ahadi za Rais? CCM inaelewa wajibu wake?
   
 16. M

  Mkaya Member

  #16
  May 10, 2012
  Joined: May 9, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo anayejiits mr emmy ana propaganda zilizopitwa na wakati; akajifunze tena kufanya propaganda.
   
 17. Ronal Reagan

  Ronal Reagan JF-Expert Member

  #17
  May 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,745
  Likes Received: 1,459
  Trophy Points: 280
  Emmy,
  In divine-given fundamental liberty on right to choose, Emmy, you've erred on folly. How did you degraded yourself and being deluded in dishonest to become a competent liar?

  See what you will reap!
   
 18. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #18
  May 10, 2012
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Huu wimbo ulikuwa kwenye Dirty Dancing na utagundua Wapenzi wa Nape hapa.......

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Rabi wa Leo

  Rabi wa Leo Senior Member

  #19
  May 10, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 104
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wasiwasi wangu haupo kwako...hivi na familia yako unaiongoza kwa mitizamo ya aina hiyo?Misingi ya Chadema inajengwa juu ya watu,watu walio na hamu na nia ya kulinda na kutetea maslahi ya Taifa,watu wanaolitanguliza Taifa mbele..Kuthibitisha hilo,chama kimekuwa kikitoa directives kwa serikali,zimetekelezwa na manufaa unayapata wewe pamoja na wenzako mlio na itikadi za magamba..
  1.Tumetaka mabadiliko ya katiba,magamba wamefanya.
  2.Tumehoji uadilifu,mmeanza kuvuana magamba.
  3.Tumehoji matumiz mabovu ya rasilimali,mmeanza kuwajibishana
  4.Tumeshinikiza baraza la mawaziri lipimwe na kuhimiza uadilifu,angalau nalo mmefanya..
  5.Tunawaonesha wananchi kuwa mnawaibia na sasa wanawahama...Ilani yenu ya Uchaguzi mmetupa,mna2ckiliza..Mnapoteza cfa ya kuongoza nchi kwa kuwa hamuumizwi na ugumu wa wananchi..WATU GANI MNAUZA HADI TWIGA HAI ILI MPATE HELA YA KUJENGEA MAHEKALU YA KUISHI NA RAFIKI ZENU?CKU TWIGA WAKIISHA SI MTAUZA WATU???
  R.I.P MAGAMBA...
   
 20. S

  SJUMAA26 JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 611
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nakubaliana na wewe, ila cha kujiuliza hao Magamba wana singo ipi inayotamba mitaani? Manake hata za yule msukule wenu Komba sizisikii siku hizi!!!!!!!!!!!!!!!!
  Watu kama nyie mnastahili kunyongwa hadi kufa maana mawazo kama yenu na hicho chama chenu ndicho kilichowazika Watz kwenye kaburi la umasikini!

   
Loading...