nasikitika chadema ni chama kinachopendwa na wengi lakini baadhi ya maamuzi yanayofanyika yanakidhoofisha chama chenyewe. Fuatilia
geita mjini
busanda
arusha
vipi shibuda?
Kumekua na vitendo vya uuzaji holela wa ardhi ya TANZANIA kwa wanaojiita WAWEKEZAJI wa KIGENI unaofanywa na viongozi wa chama (CCM) na serikali mfano simanjiro, Iringa raia wa ugiriki wamepola...
Dec 9,1961 Tanganyika iliutangazia ulimwengu kuwa ipo huru baada ya kuondoa utawala wa waingereza,na mnamo mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar wakaungana kuunda TANZANIA.Haya yote yaliashiria kuwa...
Uzuri na ubovu wa katiba upo sana kwenye ibara zenye 8 zote.
Then ibara ya 41 kifungu 7
Ibara ya 46 kifungu cha 1&2
Ibara ya 45 kifungu cha 1 chote.
Tujadili hivi na marekebisho yake
Tangu 2006 kuna mengi yametokea kuhusiana na utendaji na uongozi wa Rais Kikwete. Kuna imani ambayo imejengeka kuwa Rais "anashauriwa vibaya" na hivyo huwa anasema au anafanya vitu kwa sababu...
Mh Zitto Kabwe mbunge wa Kigoma Kaskazini anasema "Nimekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa zamani wa Marekani Nancy Pelosi na Mbunge Dennis Kucinich" nawasilisha.
Mimi kama mwanachama wa m4c naomba chadema waende pale Monduli waivuruge mpango el kupata ubunge jimbo lile namwomba Lema na Dr slaa.Tunataka Arusha nzima tuwaandoe hao magamba wametunyanyasa...
Wanajmvi Habari kutoka Iringa zinasema kuwa Mbunge wa Mufindi Kusini(CCM) Mh Menrad Lutengano Kigola amepata Ajali mbaya ya Gari jioni ya leo akitokea Jimboni Kuelekea Dar katika vikao vya Kamati...
Nimefikiria kuwa kama kuna jambo linaweza kulazimisha mabafiliko na uwajibikaji bungeni ni kuwazuia wabunge kutoa misaada ya aina yoyote majimboni kwao. Yaani wasitoe misaada ya ujenzi wa visima...
Mh.mbunge wetu tunakuomba uje jimboni kusaidia kutatua kero hii nyingi zinazotukabili sisi walimu.Kwanza mwaka jana tulipewa barua za kupanda madaraja kutoka ofisi ya TSD wilaya lakini mkurugenzi...
Hatimaye uhuru wa Tanzania utapatikana rasmi mwaka 2015, uhuru kutoka utawala wa CCM uliochoka na kushindwa kuleta matumaini kwa Watanzania, hii ni lazima, ishara zote zimeshatimia (Imethibitika...
Tatizo watanzania tumekuwa tukiona mabaya tu ya ccm ila mazuri yake hatuyaoni, tusitupie lawama tu kwa serikali sometime inabidi na sisi tujitume. Hakuna nchi yoyote duniani inayoendelea bila...
Napenda kutumia fursa hii kuwafahamisha wadau wa JF kwamba jumamosi hii ya tarehe 19/05/2012 kutakuwa na mkutano wa hadhara eneo la Ukonga mtaa wa Mazizini katika muendelezo wa operation Vua Gamba...
Lula wa Ndali Mwananzela
Toleo la 239 (RAIA MWEMA)
16 May 2012
KUNA msemo kwenye kitabu cha Mhubiri kuwa ‘hakuna kipya chini ya jua', kwamba lile ambalo...
Kila kukicha watanzania wanalia, wanalalamika hali ya maisha inavyozidi kuwa ngumu: chakula, umeme, usafiri, mikopo ya wanafunzi, maabara mashuleni, madawati, afya n.k. lakini watawala wa Tanzania...
Jana RC wa Arusha (Magesa) aliwashukuru majaji kwa kazi waliyoifanya, imesaidia kurudisha amani Arusha na alisema wale wasioridhika waende kwenye ngazi inayofata na siyo kulalamika na...
ATCL's Dash 8-300 aircraft that skidded off the runway at Kigoma airport.
Picture: File By MIKE MANDE
Posted Saturday, May 19 2012 at 13:13
China Sonangol International Holdings Ltd, the...
Kweli nimekubali Mheshimiwa Leticia Nyerere ni Kiboko ,ni mwiba kwa ccm.Kwani mpaka sasa wanamwandika kwenye magazeti huko bongo bila hata kujua ukweli .Narudia tena.Tatizo la ccm ni kwamba hakuna...
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempuuza Mbunge wa Maswa Magharibi (Chadema), John Shibuda, kufuatia kauli yake ya kudai kuwa atagombea urais kupitia Chadema katika uchaguzi mkuu wa 2015 na kwamba...
Ni masikitiko kwa jinsi CCM ilivyowapindua wananchi wake na taifa lao kwa kuwafanya:
1: kuwa taifa lenye njaa miaka nenda rudi
2: Kuwa taifa tegemezi na ombamba badala ya kujitegemea
3: Kuwa taifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.