Wandugu naskiliza mahojiano ya Kikwete na Mitchell, kweli hii nchi ni nchi ya kuombaomba, kila uchwao, mawazo ya raisi yamejaa kusaidiwa, kauli zake zimejaa kuomba na kulialia, Huu ni upuuzi, huu...
Maalim Seif Atembelea Tume ya Kukusanya na Kuratibu Maoni ya Wananchi Juu ya Katiba
Mwenyekiti wa Tume ya marekebisho ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jaji mstaafu Joseph Sinde...
Mapendekezo ya Katiba mpya
Hofu ya CCM imeota mbawa?
Godfrey Dilunga
Toleo la 239
16 May 2012
Rais Kikwete Azindua Tovuti ya CCM
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM...
Hali sio nzuri kwa ccm hapa USA.kwani wanasema tunaongea na ndugu zetu huko nyumbani ,na wanasema watoswe CCM[MAGAMBA]Huu ni muda wa kuwatosa magamba.Asante Mama Leticia kwa kuja kutupa...
CCM wameamua kuchukua hoja za wapinzani na kuzifanya zao hasa ambazo zilikuwa zinapigiwa kelele na upinzani. Baadhi ya hoja hizo ni
1: mgombea binafsi hoja ya mch.Mtikila
2: madaraka ya...
Nimekuwa nikifuatilia harakati za wabunge wa CHADEMA kwa muda sasa.
Walio wengi wamejikita kufanya kazi za 'kichama' zaidi kuliko kutimiza wajibu wao kama wawakilishi wa wananchi.
Hata michango...
Waziri wa fedha amenukuliwa akidhibitisha kuwa taifa lina akiba ya kutosha ya dola za kimelekani kuweza kuendesha nchi kwa miezi mitatu swali ni je,kwa nini bajeti ya mwaka wa fedha 2011/2012/...
Mbeyaaaa!!!!!! ooooooooooooyeeeeeee !!!!! watu " oooyeeeeeeeeeee"
Mzuka wa Chadema na Mbunge wao ukiwa umepanda kwani Mbeya, Mh Sugu hufaha mika kama Raisi wa Mbeya ...
By ESTHER TANQUINTIC-MISA:
May 16, 2012 10:38 PM EDT
Production of the precious safe haven yellow metal gold by Tanzania, Africa's fourth largest gold producer, jumped 13 per cent to 40.4...
Malisa na Nape: Adui yao ni mmoja, bora wapatane
Mwandishi Maalum
Toleo la 239
16 May 2012
HABARI za kwamba Benno Malisa, Makamu na Kaimu Mwenyekiti wa UVCCM kufukuzwa ndani ya kikao cha...
Nakumbuka kwenye ufunguzi wa tawi la CDM mabibo hostel, 'uma' ulipiga kelele -'shibudaaa, shibudaaa*etc' ili viongozi waamue moja kuhusu huyu jamaa. kimandolu na NMC ungalimited Arusha maranyingi...
CCM inaelekea kupotea miongoni mwa watanzania hiyo imethibitishwa na mbinu chafu wanazojaribu kuzitumia ili kunusuuru machoni mwa wasomi hatahivyo kazi ni pevu sana: hapa ni kielelezo cha ouvu wao...
Baraka mfilinge ni kijana wa miaka 25 sasa na amemaliza kidato cha sita mwaka 2011 katika shule ya sekondari kigurunyembe ambapo pia alikuwa co-ordinator wa YUNA(YOUTH UNITED NATIONS ASSOCIATION)...
Video kwa hisani ya Mutwiba wa Youtube
Hii ni sehemu ya nne na ya mwisho katika mfululizo wa mahojiano na Mhe. Zitto Kabwe.
Katika sehemu hii, anaeleza kwanini anaamini kuwa TANZANIA NI NCHI...
Kamanda Godbless Lema akiongozana na makamanda wengine leo wataitikisa wilaya ya Sengerema wakiendeleza harakati za kuwavua watu magamba, baada ya hapo kesho makamanda watakuwa Chato kwa Magufuli...
Posted on May 19, 2012 by zanzibaryetu
Ahmed Rajab
Kikao cha Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)
VIONGOZI wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanajikaza kisabuni lakini ukiyachambua matamshi yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.