Kigwangallah mbunge wetu nzega walimu tunanyanyaswa na mkurugenzi

LUSANGA

Member
Apr 2, 2012
31
3
Mh.mbunge wetu tunakuomba uje jimboni kusaidia kutatua kero hii nyingi zinazotukabili sisi walimu.Kwanza mwaka jana tulipewa barua za kupanda madaraja kutoka ofisi ya TSD wilaya lakini mkurugenzi MR.Kitundu na Mr.Nganya wametunyang'anya madaraja hayo bila sababu za msingi Mkurugenzi huyo ambae ni mpenda ngono ukiinda ofisini kwake kufatilia barua anakupa masharti ya kukutaka kwanza ndo akusaidie kwa kweli walimu tunanyanyasika.Tunakuomba mbunge wetu uje kututatulia kero zetu la sivyo tutaandamana mpaka kwa mkuu wa mkoa Tabora aje kutuondolea huyu KKITUNDU NA NGANYA
 
Mbunge wenu alishasema hapa JF kwamba hawezi kwenda kinyume na chama chake cha CCM, sasa kama unamtegemea Kigwangwalla hawasaidie nakusikitikia, hizo ndio sera za CCM.
 
Mbunge wenu alishasema hapa JF kwamba hawezi kwenda kinyume na chama chake cha CCM, sasa kama unamtegemea Kigwangwalla hawasaidie nakusikitikia, hizo ndio sera za CCM.

Kule fesibuku kasema alikuwa anatembelea barabara ya Nzega-Tabora kutaka kujua kwa nini haimaliziki..... Kazi ipo!!!
 
Back
Top Bottom