Chadema inashindwa kufanya maamuzi yake vizuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema inashindwa kufanya maamuzi yake vizuri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by pema, May 20, 2012.

 1. p

  pema Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  nasikitika chadema ni chama kinachopendwa na wengi lakini baadhi ya maamuzi yanayofanyika yanakidhoofisha chama chenyewe. Fuatilia
  1. geita mjini
  2. busanda
  3. arusha
  vipi shibuda?
   
 2. S

  Sheshejr JF-Expert Member

  #2
  May 20, 2012
  Joined: Jan 14, 2012
  Messages: 435
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Sijaelewa ulichokusudia nielewe......
   
 3. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #3
  May 20, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Nani aliokudanganya kuwa chadema kinapendwa na wengi? si tungewaona wakiongoza nchi.
   
 4. james chapacha

  james chapacha JF-Expert Member

  #4
  May 20, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 941
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  fuguka zaidi tukuelewe
   
 5. p

  pema Member

  #5
  May 20, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  je ! umefuatilia?
   
 6. T

  TEMILUGODA JF-Expert Member

  #6
  May 20, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  chadema wamejaribu kufanya maamuzi magumu kuliko chama chochote hapa tz.shibuda siyo issue ya kukiumiza cdm.
   
Loading...