Zitto akutana na kufanya mazungumzo na Nancy Pelocy & Dennis Kucinich!

Kiganyi

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
1,242
765

Mh Zitto Kabwe mbunge wa Kigoma Kaskazini anasema "Nimekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa zamani wa Marekani Nancy Pelosi na Mbunge Dennis Kucinich" nawasilisha.
 
Sioni tatizo hapo, hayo ni kati ya majukumu aliyopewa na umma.
Itakuwa ishu kama mazungumzo hayo hayahusiani na maendeleo ya nchi na wananchi kwa nama yoyote ile.
Ni wajibu wake kutumia kila nafasi inapopatikana kupngea na au kubadilshana mwazo na mtu yeyote wa wadhifa wowote na wa nchi yoyote kwa maslahi ya taifa.
 
Mmh! Big up Mh. Zitto Kabwa, wenzio wamefanya mazungumzo na David Beckham!
 
Mh Zitto Kabwe mbunge wa Kigoma Kaskazini anasema "Nimekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa zamani wa Marekani Nancy Pelosi na Mbunge Dennis Kucinich" nawasilisha.

Sielewe kabisa hoja ya picha hii na ujumbe wake. Nisaidieni.

Kwa uelewa wangu mdogo, kwa malengo ya mbali naona ni mbinu za ujima za kupanda ngazi za kisiasa.

Watanzania na hasa vijana ni lazima tujikomboe na kuhasiwa akili zetu/ mental castration kuwa kupiga picha na mzungu anakuongezea umaarufu.

Niweie radhi sana Kiganyi lakini nifikirie tu kwa sauti kama lengo ni kumjengea Zitto umaarufu basi ni aibu yako, usilambe miguu ya wengine. Ukiwa kiongozi itakuwaje? Ndio maana tunatoa kila kitu kwa wageni na watu wetu yunawafukuza na kuwafanya watumwa kwenye nchi yao.

Wana JF ina udhi sana unapoona kiongozi wako wa juu anaona uafahari sana kupiga picha na wasanii, wachezaji na inakuwa jambo kubwa kitaifa. Au pale anapojivunia omba omba.
 
Zitto yuko Marekani? na kwa ajili gani? au yume kwenye msafara wa JK?
 
http://www.wavuti.com/uploads/3/0/7/6/3076464/6771891_orig.jpg

L-R: Pelosi, Zitto, Kucinich
Nancy Pelosi, former Speaker of the US Congress met Zitto Kabwe, MP for Kigoma North, Tanzania in her office following introduction by congressman Dennis Kucinich from Ohio.*

Zitto visited the Capitol to meet Senators and Representatives on pushing for Governance reforms in Tanzania and strengthening accountability of institutions in order to curb corruption and improve service delivery to the people.*

Zitto is in a private visit to the US. He will talk with Tanzanians living in the US on the 27th of May on various issues, after a brief visit to The Netherlands on Oil and Gas agenda.*

He is one of the two MPs seriously working on preparing Tanzania for a Natural Gas Economy. He recently coined Tanzania as "The United Republic of Natural Gas" following newly announced discoveries of massive gas reserves in Mtwara, Tanzania.
*
Source: http://www.wavuti.com/4/post/2012/05/zitto-kabwe-meets-former-us-speakernancy-pelosi.html?utm_source=feedburner&utm_medium=twitter&utm_campaign=Feed%3A+wavuti+%28Wavuti+%29
 
Mh Zitto Kabwe mbunge wa Kigoma Kaskazini anasema "Nimekutana na kufanya mazungumzo na Spika wa zamani wa Marekani Nancy Pelosi na Mbunge Dennis Kucinich" nawasilisha.

MH ZITTO TAHADHARI SANA NA MAGAMBA WENYEWAO WANASEMA WANA MBINU 99, MAANA HIVI SASA KULE ZANZIBAR UPINZANI HAKUNA TENA NA CCM,MAANA HUCHUKULIWA VIJI TRIP KILA AONDOKAPO KIKWETE NA CUF HUTIPWA, HII YOTE NIKUWALAINISHA WASHE KUBWEKA.

SASA USIJE UKALEWA KWA VIJI TRIP NA VIJIALAWENSI ,CHAMA PEKEYAKE KINACHOANGALIWA KWA JICHO LA UHASIDI NA CCM HIVI SASA NI CHADEMA.

TUMEKUKUBALINI CHADEMA KWA KUWA KARIBU NA WANANCHI (WANYONGE) USIJE MUKATUSALITI NA KUKIUZA CHAMA KWA KUNUNULIWA NA CHAMA CHA MAFISATI CHENYE KULINDANA WENYEWE KWA WENYEWE.

Jee wananchi wawasikilize Serekali(ccm)? au Serekali iwasikilize wananchi(Watanzania)? chakujiuliza Boss ni yupi hapa ccm au Watanzania?
 
Nancy Pelosi, former Speaker of the US Congress met Zitto Kabwe, MP for Kigoma North, Tanzania in her office following introduction by congressman Dennis Kucinich from Ohio.*

Zitto visited the Capitol to meet Senators and Representatives on pushing for Governance reforms in Tanzania and strengthening accountability of institutions in order to curb corruption and improve service delivery to the people.*

Zitto is in a private visit to the US. He will talk with Tanzanians living in the US on the 27th of May on various issues, after a brief visit to The Netherlands on Oil and Gas agenda.*

He is one of the two MPs seriously working on preparing Tanzania for a Natural Gas Economy. He recently coined Tanzania as "The United Republic of Natural Gas" following newly announced discoveries of massive gas reserves in Mtwara, Tanzania.
*
Source: Zitto Kabwe meets former US Speaker,*Nancy Pelosi - wavuti ner&utm_medium=twitter&utm_cam paign=Feed%3A+wavuti+%28Wavuti +%29
 
mmmm.... interesting. Article inasema yuko USA kwa private visit which means hayuko huko kwa shughuli za chama! At the same time article inasema yuko huko pushing for accountability, transparency and whatever.
Accountability una-push toka USA? Hapa sijaelewa. Halafu huyo Dennis Kucinich namuona kama an improved version ya Shibuda fulani.

I am also curious to know kwanini hii "private" visit ya Zitto ina-coincide the safari ya JK huko Marekani? Pure coincidency? All in all tuombe mungu iwe ni kwa manufaa ya nchi!
 
Hiyo picha haina maana bali tunataka tujue nn cha muhimu na sio blala za kujipa umaarufu wa kisiasa huku watu tukihangaika na M4C zetu huku.
Mi binafsi sioni maana sana ya kumsifia mtu kupiga picha na mzungu bali kufanya hivyo ni utumwa fikra ambao unapaswa kupingwa kwa vikali sana pia tusijidharau sisi waafrika.
Solidarity forever.
 
shabashii!!..... DEO Kaangalie ni picha ngapi mwenyekiti wenu kapiga na wazungu tena wasanii,ivi we bwana mdogo Deo unawaza kwa kufikila nini.... Sikutofautishi na Shibuda, kwa akili yako wewe unaweza ukajilinganisha na zito unasema et kapiga picha na wazungu iv kweli zinakufaa kwel
 
Last edited by a moderator:
Una hakika ni kwa maslahi ya taifa?Wajinga ndio waliwao.

Back
Top Bottom