Ningekuwa rais ngetafuta sifa za walala hoi

mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
6,379
3,826
Kila kukicha watanzania wanalia, wanalalamika hali ya maisha inavyozidi kuwa ngumu: chakula, umeme, usafiri, mikopo ya wanafunzi, maabara mashuleni, madawati, afya n.k. lakini watawala wa Tanzania wanasifiwa na Wamerekani. Vichwa vinavimba kukaribia mount Kilmaanjaro. je, hawa walala hoi wangepungukiwa na tabu hizi si wangewasifu watawala wao? Sifa za walala hoi si bora kuliko hizo za wakubwa?
 
Back
Top Bottom