Lawama juu ya CCM zitaisha lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lawama juu ya CCM zitaisha lini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by king zamunda, May 19, 2012.

 1. k

  king zamunda New Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: May 10, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo watanzania tumekuwa tukiona mabaya tu ya ccm ila mazuri yake hatuyaoni, tusitupie lawama tu kwa serikali sometime inabidi na sisi tujitume. Hakuna nchi yoyote duniani inayoendelea bila wananchi kujituma, vijana walio wengi wanapenda kushinda magengeni kupiga story wakisahau kuwa nguvu kazi yao inahitajika katika kuendeleza nchi. Hivyo basi tuache lawama zaidi na tuzidishe jitihata zetu binafsi...... huo ni wangu mtazamo tu.
   
 2. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Pole bwana mdogo king zamunda umesahau usemi usemao "kizuri cha jiuza kibaya cha jitembeza" labda nikujibu swali lako, 2015 ndipo kifo chenu hata viongozi wako wamesha lijua hilo wengine wameanza kujihami kusimika sheria yakupinga matokeo ya rais mahakamani
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Nitajie nchi moja iliyoendelea kwa wananchi kufanya kazi huku viongozi wao wakitafuna fedha za umma?
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Nitajie nchi ambayo wananchi wanaongoza watawala wao.
   
 5. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Kikiachia Madaraka
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  mtazamo wa mwanafunzi wa darasa la tatu. Lawama dhidi ya ccm zitaisha siku ccm itakapokuwa imezikwa kama KANU
   
 7. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  kuisha hata siku moja kwani wametuharibia sana nchi yetu wehu hawa
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa nini vijana wanashinda magengeni?
  Na unaposema tuache lawama na tuzidishe jitihada zetu binafsi, kwa vipi? Mfano nikienda hospitali naambiwa hakuna dawa, nalazwa chini, hapo unataka nifanye jitihada binafsi ipi? hongo? kwa nini serikali inapokea kodi?
   
 9. a

  abu alfauzaan Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uclalamike,yote inamaanisha mabaya ya ccm ni meng kuliko mazur yke,istoshe ayo mazur machache pia hayaonekanwi,

  kwa iyo wambie ao magamba wenzio wazidishe mazuri yao uone km italaumiwa
   
Loading...