Zanzibar inaishi kwanini tanganyika haishi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar inaishi kwanini tanganyika haishi?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by WISTON MWINUKA, May 20, 2012.

 1. WISTON MWINUKA

  WISTON MWINUKA Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: Apr 29, 2012
  Messages: 82
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dec 9,1961 Tanganyika iliutangazia ulimwengu kuwa ipo huru baada ya kuondoa utawala wa waingereza,na mnamo mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar wakaungana kuunda TANZANIA.Haya yote yaliashiria kuwa Utanganyika na Uzanzibari umekwisha,kwa maana kuwa wameungana na kuunda Nchi moja.Lakini leo nashindwa kuelewa kwanini Serikali ya visiwani inaitwa Serikali ya mapinduzi ya Zanzibar na hawa bara eti wanajiita Serikali ya Tanzania bara.Sielewi nini sababu,mimi nilidhani kuwepo na Tanzania visiwani na Tanzania bara,Lakini swali:kwanini nchi moja Maraisi 2 na makamu 3?Je!Wazanzibari walilazimishwa juu ya muungano?Kwanini TANU na ASP ziliendelea kuwepo hata baada ya muungano?Kwanini ASP na TANU ziliungana kuunda CCM baada ya Kifo cha KARUME?.....Nawasilisha.
   
Loading...