Tanzania imeshauzwa, watanzania tukimbilie wapi?

IBRAHIM UCHUNGU

New Member
May 1, 2012
2
1
Kumekua na vitendo vya uuzaji holela wa ardhi ya TANZANIA kwa wanaojiita WAWEKEZAJI wa KIGENI unaofanywa na viongozi wa chama (CCM) na serikali mfano simanjiro, Iringa raia wa ugiriki wamepola ardhi, Arumeru, Songea, hazaba bagamoyo-waswiden, dar- waanajiita wawekezaji wa kichina, Magofu ya chole kule Mafia. WATANZANIA!!!! kabla hatujawa wakimbizi kwenye nchi yetu TUPAMBANE kuiokoa nchi yetu maana ndio urithi pekee tuliachiwa na mababu zetu na ndio urithi pekee tutakaowaachia watoto na wajukuu wetu. CHANZO (BBC SWAHILI )
 
Back
Top Bottom