Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii ni Habari katika Habari Leo Jumamosi MBUNGE wa Jimbo la Igunga, Dk Dalaly Kafumu (CCM) amesema hana imani na Jaji Mary Shangali kuendelea kusikiliza kesi ya kupinga matokeo yaliyompatia...
1 Reactions
31 Replies
4K Views
Rostam Aziz ameziandikia bank za CRDB na NMB ya kutaka kufunga account zake na kutaka kuhamisha fedha hizo katika nchi ya Malaysia, tukio hili lilifanya mameneja wa bank hizo kuomba muda wa...
12 Reactions
223 Replies
19K Views
Ukisikiliza video iliyopo kwenye mtandao: John Mnyika | Facebook kuna sauti ya Mnyika akichochea askari polisi kugoma kosa ambalo lilimfanya mwandishi wa makala Mwigamba na mhariri Kibanda...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Miaka 20 sasa tangia chama cha siasa CHADEMA kupata usajili wa kudumu. Chama hiki kimepitia mikiki mingi sana ya kisiasa. Siku za mwanzo wengi waliogopa hata kuitwa wapinzani kwa hofu ya kupoteza...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
MADA: Maamuzi ya NEC - CCM kuelekea 2015 Studio Mwanza yupo Yahya. Studio DSM yupo James Range Mgeni DSM: Nape Nnauye Karibuni kuchangia
4 Reactions
82 Replies
6K Views
VIONGOZI wa vyama viwili vya siasa nchini wameibuka na kutoa notisi ya siku 90 kwa Serikali kusitisha mchakato wa mabadiliko ya Katiba mpya unaoendelea kwa madai kwamba mchakato wa Sheria ya...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu, Nikiwa mmoja wa watanzania wanaoishi ughaibuni ningependa kupewa maelekezo kutoka kwa yeyote mwenye kufahamu namna gani nasi tunaweza kushiriki katika kutoa maoni yetu hususan...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Now that we have the tume next? As a forum of Great thinkers what do we do? Do we wait to hear from them? Big No! Let us continue pondering about what should and should not go into our new...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
The parliament did not made up for our dear politicians but also for a group of owls?
0 Reactions
0 Replies
831 Views
Ni kweli Tumepata tume ya kuratibu ukusanyaji wa maoni katiba! Asante.. sasa nini kufuate katika Fikira???? Sisi tunaojinasibu kuwa wenye fikira pevu tufanye nini au tunasubiri...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:spy::spy:kumekua na hatua mbalili mbali ambazo ccm imekua ikichukua kukabiliana na kuporomoka kwake,,,,,,moja ni kutumia mbinu za upinzani na kuteka mijadala,,mf,,,katiba...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Unapoangalia yanayoendelea kati ya bavicha na shibuda then unaforecast yatakayotokea kati ya chadema na olle millya afu unakuja kuhitimisha kwamba chadema haina sort of KYC (know your customer)...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
source mwananchi MABALOZI WAGOMA KUCHUKUA FOMU KUOMBA UONGOZI, WASOMI WAIONYA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimemaliza uchaguzi katika ngazi ya mashina na matawi huku kikikabiliwa na tatizo la...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Mabango yabandikwa kumsafisha Ngeleja Friday, 18 May 2012 22:49 Frederick Katulanda, Geita Mwananchi MABANGO yenye lengo la kumsafisha aliyekuwa Waziri wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nimesikia mrithi wa Hayati Regia amepatikana kutoka Karatu! Je ilikuwa lazima wapitie kwenye kumbukumbu za chaguzi zilizopita?? Kwa nini hawakufanya uchaguzi mwingine ili kuleta uhalisia wa usawa...
3 Reactions
187 Replies
14K Views
...Binafsi na kwa dhati ya moyo nakiri kuwa hali ya CCM sasa ni mbaya,imezeeka,imekuwa kichaka cha wahuni,wala rushwa,wahujumu uchumi,mafisadi wa mali za umma,mradi wa kuendelea kimaisha...imekuwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanzania Daima CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinadaiwa kuandaa fitina, mbinu na mikakati ya kukidhoofisha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ikiwamo kumng’oa Katibu Mkuu wa chama hicho...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Kufanikiwa kunahitaji bidii napia kunachangamoto yake,hivyo ninawaomba viongozi wote tuelekeze nguvu ktk mikoa ambayo ikonyuma kimawasiliano ilituunganishe nguvu ya uma kwapamoja.mikoa kama...
0 Reactions
1 Replies
854 Views
Huyu Rais mtalii yuko safarini na watu kumi na sita 16,sasa la kujiuliza ni kwamba hawa watu wote wanaenda kufanya nini na wote hawa lazima walipwe so hapa si ndo kule kutafuna Taifa au tuseme...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Back
Top Bottom