Ugonjwa wa degedege ambao CCM wameupata huku Washington DC umesambaa mpaka kwenye gazeti la Uhuru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ugonjwa wa degedege ambao CCM wameupata huku Washington DC umesambaa mpaka kwenye gazeti la Uhuru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by environmental, May 19, 2012.

 1. e

  environmental JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,054
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Kweli nimekubali Mheshimiwa Leticia Nyerere ni Kiboko ,ni mwiba kwa ccm.Kwani mpaka sasa wanamwandika kwenye magazeti huko bongo bila hata kujua ukweli .Narudia tena.Tatizo la ccm ni kwamba hakuna wasomi makini ,wao wamesomea ulaya mashariki[propaganda]sasa Chadema washington DC inakupeni scholarship bure mje kusoma elimu kwa ajili ya maendeleo na sio propaganda.Peopleoooooooooooooooooo, powerrrrrrrrrrrrrrr.
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  ccm ni zigo la Taifa letu!
   
 3. o

  oakwilini Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: May 7, 2012
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanaweweseka tu na mimi nawaambia bado moto haujawawakia vizuri,Tutawashika pabaya hadi majambazi wote wahame nchi.
   
 4. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Tuambieni sisi tulioko huku ana kesi au hana.
   
 5. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Na kabla ya uchaguzi wa mwaka 2015 watu wote wenye passport lazima wazirudishe uhamiaji na watarejeshewa baada ya uchaguzi maana naona dalili za watu kuikimbia nchi hii baada ya madudu yao,maana hili degedege la CCM sasa limekosa dawa
   
 6. M

  Mkekuu JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 1,239
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  2po pamoja.
   
Loading...