Penda msipende CHADEMA lazima ichukue nchi 2015

chachana

Member
Aug 4, 2011
57
92
Hatimaye uhuru wa Tanzania utapatikana rasmi mwaka 2015, uhuru kutoka utawala wa CCM uliochoka na kushindwa kuleta matumaini kwa Watanzania, hii ni lazima, ishara zote zimeshatimia (Imethibitika kisayansi ya siasa CCM haikarabatiki tena).
Haitakuwa rahisi sana, kutakuwa na pingamizi mahakamani la kesi itakayopelekwa na CCM kupinga ushindi wa CHADEMA, lakini itashindwa maana system yote itakuwa ni ya chadema.
Penda msipende, mtake msitake, muamini msiamini CHADEMA itachukua nchi mwaka 2015, hii nasema kwa nguvu yote. Watanzania wengi watu wa Mungu wameamua hivyo, na wale wenye kuamua wameshaamua hivyo. Tusukume siku tu.
 
wakubali wasikubali walie wasilie wacheke wanune walale wasilale cdm tunakwenda kuchukua nchi tulitambaa,tukatembea tukanyata na sasa tunatembelea kisigino ka ka ka kuelekea Ikulu hakuna damu ya mtu wala mdudu sisimizi itakayo mwagika kwani sasa tumevua gamba la woga (kijani) na tumevaa gwanda la ujasiri(kaki)
 
Convince me that CDM has different things to bring to our development which CCM failed
 
Sio Lazima sababu viongozi wakuu wa CHADEMA wameishasema hawako tayari kuongoza hii nchi kama kufanya hivyo kutasababisha ama kutahitajika kutokea Umwagaji wa damu.

Kwa hiyo kama vyombo vya usalama visipopenda, mambo yanaweza yakawa tofauti na mategemeo yako.
 
Hatimaye uhuru wa Tanzania utapatikana rasmi mwaka 2015, uhuru kutoka utawala wa CCM uliochoka na kushindwa kuleta matumaini kwa Watanzania, hii ni lazima, ishara zote zimeshatimia (Imethibitika kisayansi ya siasa CCM haikarabatiki tena).
Haitakuwa rahisi sana, kutakuwa na pingamizi mahakamani la kesi itakayopelekwa na CCM kupinga ushindi wa CHADEMA, lakini itashindwa maana system yote itakuwa ni ya chadema.
Penda msipende, mtake msitake, muamini msiamini CHADEMA itachukua nchi mwaka 2015, hii nasema kwa nguvu yote. Watanzania wengi watu wa Mungu wameamua hivyo, na wale wenye kuamua wameshaamua hivyo. Tusukume siku tu.

Mkuu we are struggling much for this victory, so what we are in need of is a great strategic investment especially in rural areas. We would like CHADEMA to strengthen its fundraising campaign especially to we supporters so as to consolidate it financial position which then would avail them implementing the strategic gal of being the winners in the coming election. We are in need of join efforts through all means of communications and material supports to be at a stage that every Tanzanian would get the real CHADEMA's liberation campaign. We are proud of having CHADEMA, imetia jambajamba Magamba, hence they are trying to manipulate things so that they would remain in power but no way out,walishachemsha na wanachi wameamka.
 
2015 ndo utajua ni nchi ipi CHADEMA wameichukua. lazima mhame nchi yetu nyie gamba!
Hatutegemei chama kuishi mjini. Fikra pevu, na kufanya kwa bidii ndicho kinachompa mtu jeuri. Wewe unayetegemea CDM ije kukukomboa kwenye hali uliyonayo utasubiri sana!
 
Back
Top Bottom