Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,890
- 6,898
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempuuza Mbunge wa Maswa Magharibi (Chadema), John Shibuda, kufuatia kauli yake ya kudai kuwa atagombea urais kupitia Chadema katika uchaguzi mkuu wa 2015 na kwamba meneja kampeni wake atakuwa Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Jakaya Kikwete.
Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Wilson Mukama, akizungumza katika mahojiano na NIPASHE Jumamosi jana iliyotaka kujua chama hicho kimepokeaje kauli ya mbunge huyo wa chama cha upinzania kutaka meneja kampeni wake awe Mwenyekiti wa CCM Taifa, alisema Shibuda alikuwa anafanya utani wakati wa kutoa tamko hilo "Shibuda alikuwa anafanya utani tu kwa hiyo CCM hatulichukulii kama ni jambo ambalo ni la 'serious'," alisema Mukama kwa kifupi na kukata simu.
Kwa habari zaidi soma: CCM yampuuza Mbunge Shibuda