Mimi naomba m4c kwenda Monduli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mimi naomba m4c kwenda Monduli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meba, May 20, 2012.

 1. meba

  meba Member

  #1
  May 20, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 99
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mimi kama mwanachama wa m4c naomba chadema waende pale Monduli waivuruge mpango el kupata ubunge jimbo lile namwomba Lema na Dr slaa.Tunataka Arusha nzima tuwaandoe hao magamba wametunyanyasa muda mrefu kwa kweli cdm wasipoenda mimi naenda mwenyewe
   
Loading...