Chama cha mapinduzi kweli kimewapindua wananchi wake na taifa lao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chama cha mapinduzi kweli kimewapindua wananchi wake na taifa lao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mdomo Mwepesi, May 19, 2012.

 1. M

  Mdomo Mwepesi Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ni masikitiko kwa jinsi CCM ilivyowapindua wananchi wake na taifa lao kwa kuwafanya:
  1: kuwa taifa lenye njaa miaka nenda rudi
  2: Kuwa taifa tegemezi na ombamba badala ya kujitegemea
  3: Kuwa taifa la wababaishaji badala ya watendaji
  4: Kuwa taifa la mafisadi na wala rushwa badala ya taifa la waadilifu
  5: Kuwa taifa la kuendekeza vikao na semina kwa ajili ya posho badala ya kuongeza tija kwa kufanya kazi kwa bidii
  6: Kuwa taifa ambalo baba wa nyumba ni kiguu na njaa kila kukicha!
   
 2. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  Kuwa taifa la kwa duniani halifuati katiba.
  Kuwa taifa la kwanza duniani cheo ni ulaji.
  Kuwa taifa la kwanza duniani uongozi una bei(thamani).
  Kuwa taifa la kwanza duniani wananchi wana uelewa kuliko viongozi wao.
   
Loading...