Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Napenda nitoe rai yangu juu ya hali tete inayoonekana tanzania kwa sasa:swali ni je CCM inahusika/haihusiki na fujo hizi? *Tumeshuhudia mauaji mengi ya raia wasiokuwa na hatia na wanaodai haki...
0 Reactions
0 Replies
846 Views
Leo asubuhi wakati najiandaa kuelekea kunakoshughuli nikabahatika kuona taarifa ya habari ITV ambapo Mzee Makamba alikuwa anazindua kitabu chake ambacho kimechapwa na Nyambari Nyangwine. Uzinduzi...
1 Reactions
0 Replies
871 Views
Ninavyoelewa Katiba ya nchi yetu unaruhusu/ inatoa uhuru wa mtu kutoa mawazo yake. Lakini mara nyingi naona mtu akigusia mambo ya muungano anaangaliwa tofauti. Pengine hata vurugu zinazojitokeza...
0 Reactions
2 Replies
996 Views
Jamani kama kuna mtu anaweza kutusaidia jinsi ya kuchangia CHADEMA kwa namba 111333 kwa Vodacom tunaomba atupatie maelezo
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Video kwa hisani ya Sirallymasoud wa Youtube SOMO ZURI KWA WADAU WA JAMIIFORUM KISIMA CHA ELIMU ENDELEVU Historia ya dhana ya Muungano uliofikiriwa na Zanzibar kabla ya Zanzibar kupata uhuru...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau, Matunda ya serikali yetu sikivu hayo, hili ni jambo la kitaalamu msiweke siasa. tuipongeze serikali sikivu. Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu, amesema uchumi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kamwe hakitakubali kuyumbishwa na kikundi chochote au watu wanaojiunga nacho kama mapandikizi kwa lengo la kuleta mageuzi ili kukidhoofisha...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
Source Tanzania Daima BAADA ya suala la uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi nchini kupigwa danadana, sasa Waislamu wametaka suala hilo liingizwe kwenye Katiba mpya. Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Wana jf serikali inapanga bajeti mpya na karibuni mwaka mpya wa serikali unaanza.Sasa je watumishi wasipoongezewa mishahara?Je tufanye je?Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu mimi nafikiri kinachojiri zanzibar sasa na si ajabu hata huku bara ni kigugumizi cha serikali ya ccm kukemea kwa nguvu zote udini unaozidi kuota mizizi hapa nchini hasa hii mihadhara ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda, amewataka wabunge wa Tanzania wanaowakilisha katika Bunge la Afrika Mashariki (EALA), kususia vikao na kutoka nje pindi wanapoona...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Uteuzi wa wabunge wa kuteuliwa na Rais Kikwete wa hivi karibuni akiwemo mmoja kutoka chama cha upinzani NCCR Mageuzi ni kitendawili kilichoteguliwa tayari na mteule licha ya ukweli kujulikana...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Amani tuliyo nayo watanzania, inawafanya hata majirani zetu kila kukicha kukimbilia tanzania, waki amini hakuna kitu bora katika maisha kama amani. Watanzania tumekuwa tukiishi kwa upendo na...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Wana JF wakati jana ukifanyika mkutano mkubwa pale Jangwani Makamanda wa CHADEMA waligawana viwanja ambapo Chiku Abwao alikuwa Ismani huku Makamanda Conchesca Lwamlaza(mbunge viti maalu kagera)...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Katibu mwenezi wa Ccm bwana nape nauye amezindua movement ya 'vua gamba vaa uzalendo' ameongea hilo katika eneo la Misenyi mkoani Kagera. Source:chanel 10 taarifa ya habari saa 1usiku. My take...
1 Reactions
76 Replies
6K Views
Je mliopo mkoa wa Pwani mnayajua yaliopo mjini , kuna watu inasemekana wameuawa na polisi na kuna vurugukubwa sana na wananchi wameamuriwa wasitoke nje. Kuna mapigano kati ya polisi wakulima na...
0 Reactions
2 Replies
941 Views
Nimepita jangwani na nikatulia kwenye Luninga yangu nikifuatilia hotuba kem kema nzuri zenye mvuto za viongozi wa CDM. Pamoja na kufurahishwa na mengi yaliyozungumwa, kuna mambo kadhaa ambayo...
11 Reactions
69 Replies
6K Views
kwa kauli za nape inaonesha hakuna kiongozi madhubuti ndani yake. 1.hakuna fisadi aliyeadhibiwa hata mmoja sababu ndio walioweka ilipo ccm 2.nape hajui anawakilisha chama kipi maana ndani ya moyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa kweli mimi sio mwanasiasa lakini ni mwanajamii anaeshiriki moja kwa moja mafanikio ama maangamizi ya taifa. Kama kutakuwa na shule bora, hospitali bora, nishati bora, maji safi nk ni unafuu...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
CDM wameanza kuangamiza ngome ya CCM Bagamoyo. Leo wamefanya mkutano ktk viwanja vya Majengo S/M. Mkutano umefanyika wakati mvua kubwa ikinyesha na watu wakinyeshewa na mvua ya kufa mtu huku...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…