'Tabia hii ya mwanasiasa huyu.(mwigulu nchemba).inasikitisha.
1.uliahidi visima vya maji kata ya mbelekese.viko wapi visima vya maji?
2.ulipita mbelekese sekondari ukawapa walimu Tsh...
Nitaamini kweli WanZanibar wanataka Zanzibar yao na sisi waZanzibara tubaki na Tanganyika yetu ni pale tu Wabunge wote toka Zanzibar watakapo achia ngazi nakuondoka kuacha nafasi hizo hapo ndio...
Waziri Ngeleja aliyeachwa katika Wizara ya Nishati na Madini
Adam Kighoma Malima.............bosi wake Ngeleja kamwaga unga lakini kwenye uwajibikaji wa JK huyu ni mtu safi!
Khoja ya...
Wakuu niliona habari moja katika blog ya Issamichuzi, ikiwa na picha ya hao jamaa wakiwa wamepiga na baadhi ya wabongo wanaoishi Denmark tarehe 21 April 2012 , Nikajiuliza huu mkutano uwakilishi...
Huku jangwani kukizidi kupendeza huko DC Msigwa, Nasari na Zitto wanatarajiwa kufunia kwenye mkutano unaotarajiwa kufanyiaka muda si mrefu kuanzia sasa utakao huduliwa na watanzania zaidi ya 2000...
aise wana jf mimi naona it would be of an advantage to creat another blog for jf and others to have their views on the new constitution placed on the blog separately.
It is an idea --- take it or...
KATIKA muktadha wa mjadala kuhusu kuandika katiba mpya, nimekuwa nikisema kwamba yapo masuala ya kikatiba ya aina mbili: aina ya kwanza ni yale ambayo, hata kama yanaumua hisia kali miongoni...
Katika hali isiyokuwa ya kawaida katika semina ya wabunge wa Afrika mashariki spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania amewaambia wabunge hao kuwa wanaweza kutoka nje ya bunge la Afrika...
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec) imesema haiwezi kuitisha uchaguzi mdogo kwa sasa katika Jimbo la Sumbawanga Mjini, mkoani Rukwa, kwa vile kuna kusudio la kutaka kukata rufaa kupinga uamuzi wa...
Nimeona kwenye gazeti la sema usikike la tar 28, ukurasa wa kwanza. Limeandikwa, "Vituko uchaguzi wa ccm: Mwanachama aliyekufa na kusahaulika achaguliwa mwenyekiti wa ccm Dar". Nimebaki najiuliza...
Nape Nnauye jipe moyo, macho mbele…
Samson Mwigamba
MWALIMU Evarist Lukiko alinifundisha mwaka 1985 somo la Kiingereza. Alikuwa mwalimu mzuri sana wa somo hilo na mimi ni...
Mufti wa Tanzania, sheikh Mkuu Issa bin Shaaban Simba, kilichotikea Zanzibar ni mambo ya siasa hivyo basi kama kuna Wanzanzibari hawautaki muungano wanastahili kusikilizwa ili kuepusha balaa...
Huu ndio muda mzuri wa hawa mawaziri wa Zanzibar kuachia ngazi walizo nazo huku Tanganyika na kwenda kujiunga na mashehe huko visiwani kudai uhuru wao na kupinga unyonyaji unaofanywa na waislamu...
KELELE anazopiga Mbunge wa Msalala, Ezekiel Magolyo Maige, zinanichefua. Analalamika kila uchao na kibaya zaidi anatumia vyombo vya habari.
Malalamiko yake yanasababishwa na kupokwa dhamana ya...
30 MAY 2012
Na Pamela Mollel, Arusha
IMEELEZWA kuwa bajeti nyingi za nchi za Afrika zimekuwa tegemezi kwa wahisani jambo ambalo linachangia uwepo wa matumizi mabaya ya rasilimali za nchi kwa...
Kwa sasa ukisema tuuvunje muungano haimaanishi unauchukia ila ni busara tu hutumika.
Hata kama ni wachache hawautaki muungano tuuvunje kama UJERUMAN Na ikiwapo aja Na wananchi wakitaka...
Umoja wa mataifa unatambua haki ya kila nchi kujitawala yenyewe. Na hivi iwapo Zanzibar itapeleka mapendekezo yake, ni wazi yatatiliwa maanani. Lakini kwa hoja za demokrasia na style za diplomacy...
Ni Idd Simba mbele ya Hakimu Mfawidhi Ilvin Mgeta,Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Anasomewa mashtaka ya ufisadi na kusababisha hasara kwa UDA.Mashtaka yakasomwa na Mwendesha Mashtaka wa...
Nimesoma makala kwenye gazeti la Mwanahalisi iliyochambua dhuluma iliyofanywa na serikali kuanzia 2006 dhidi ya wafugaji. Mwandishi wa makala anatoa mfano wa hasara iliyowapata wafugaji kutokana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.