Bunge lijalo na wabunge wa kutoka Zanzibar

i pad3

JF-Expert Member
Mar 16, 2012
1,518
377
Nitaamini kweli WanZanibar wanataka Zanzibar yao na sisi waZanzibara tubaki na Tanganyika yetu ni pale tu Wabunge wote toka Zanzibar watakapo achia ngazi nakuondoka kuacha nafasi hizo hapo ndio nitaona kweli wanachosema mengineyo wanafanya maigizo.
 
nitajua kwlei tatizo ni muungano bna wala sio kanisa
 
Thubutu!!!!!!!!!!!!!!!!! nani alikwambia? kwani hujui wengi ni wa viti maalumu.
 
Hii itamaliza utata huu wa MUUNGANO na kuasafisha WATANGANYIKA na kashfa hii mbaya ya kuwadhulumu wenzao wa ZANZIBAR.NATAMANI watoe TAMKO HATA LEO kwani inakera sana
 
hii itamaliza utata huu wa muungano na kuasafisha watanganyika na kashfa hii mbaya ya kuwadhulumu wenzao wa zanzibar.natamani watoe tamko hata leo kwani inakera sana

uamsho ni wachumia tumbo tu hawa
 
namsikiliza kichwa hapa ITV prof. Issa Shivji kamaliza kila kitu kuwa kwenye kura za maoni kuhusu hatima ya Muungano watanganyika wengi walipiga kura ya kuukataa Muungano. alitaja mwaka ila sikusikia vizuri.
 
Posho ndugu yangu posho, mashangingi, vipozeo huko dom. Nani aache? Wazenji wenyewe wasioutaka wanawachagua hao vilaza wawawakilishe huko dom! Hujawahi kushangaa? Hivi wakigoma kuwachagua itakuwaje.
Binafsi siupendi wala siutaki muungano!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom