NEWS ALERT: IDD SIMBA aanza kwa mkwara... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEWS ALERT: IDD SIMBA aanza kwa mkwara...

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VUTA-NKUVUTE, May 30, 2012.

 1. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Ni Idd Simba mbele ya Hakimu Mfawidhi Ilvin Mgeta,Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.Anasomewa mashtaka ya ufisadi na kusababisha hasara kwa UDA.Mashtaka yakasomwa na Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU,Benny Lincoln.Mawakili wasomi wawili wakajitambulisha kama wanaomtetea Simba.Ni Said El-Maamry(pia Mjumbe wa Tume wa Maoni ya Katiba) na Alex Mgongolwa.

  Baada ya kusomwa mashtaka,Mawakili wa Simba wakasimama na kuomba dhamana kwa mteja wao kwakuwa mashtaka ambayo kwayo mteja wao anashtakiwa yanadhaminika.Lincoln hakuonyesha upinzani.

  Hakimu Mgeta akamtaka kila mshtakiwa adhaminiwe na wadhamini wawili wenye bondi ya shilingi milioni 500 kila mmoja.Fedha nyingi eeh? Kwako tu.

  Mawakili wa Simba wakawasilisha hati ya kiwanja na nyumba ikiwemo yenye thamani ya shilingi bilioni 8.Bondi yake ilikuwa na uwezo wa kudhamini washtakiwa 8 kwa masharti kama ya Hakimu Ilvin Mgeta.Kuonyesha kuwa Simba 'anajali',akaruhusu wenzake wawili pia watumie hati yake kupata dhamana.

  Wenzake wakafaidi kuwa na Simba.Simba anakuwa kigogo wa kwanza kutokwenda mahabusu siku ya kwanza ya kupelekwa Mahakamani.Ni kigogo wa kwanza ambaye upelelezi wa kesi yake ulikamilika kabla ya kuletwa Mahakamani.Ni tofauti na wote waliotangulia.

  Picha imeanza...
   
 2. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Usanii mtupu hapo, Mramba na wenzake kesi yao vipi mpaka leo?
   
 3. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  kwa hiyo picha...... ni dhahili walijipanga na walijua nini kinafuata
   
 4. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hakuna kiakachobadilika na mwisho wa siku watanzania tutakuwa tumepigwa za uso.
   
 5. MTENGETI

  MTENGETI JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 2,330
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  yeah! bonge la Bit hilo. producer wake si sayari hii . na Hata script writer si binadamau wa kawaida. Hii muvi itakuwa kali sana. stealing anaanza na kupiga za uso! kazi kweli kweli
   
 6. Manumbu

  Manumbu JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2012
  Joined: Oct 28, 2009
  Messages: 1,751
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  binafsi naamini kwa Iddi Simba, hatopona kifungo!
   
 7. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #7
  May 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Akili Kumkichwa....hapo ujue kila kitu kilikamilika pamoja na dhamana na uigizaji utakaofanywa mahakamani...Pale walikuwa wakiperfom walichokuwa wamepractice kabla....Tanzania ni zaidi ya uijuavyo...
   
 8. N

  NICE LAMECK JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hapo kuna kila sababu ya washitakiwa kuiweka mahama kifuani na kuishawishi vinginevyo tusubili mwisho wake Mungu tupe uzima tushuhudie.
   
 9. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,520
  Likes Received: 10,438
  Trophy Points: 280
  kwa zama hizi haki sijui kama itatendeka.!
   
 10. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #10
  May 30, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,010
  Likes Received: 1,816
  Trophy Points: 280
  Hivi ujumbe wa Tume ya Katiba siyo full time job kwa kipindi cha hiyo miezi 18?
   
 11. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Dawa yao ipo jikoni
   
 12. kamtu33

  kamtu33 JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2012
  Joined: Mar 15, 2012
  Messages: 971
  Likes Received: 188
  Trophy Points: 60
  Tuhuma bil Mbili dhamana mil 500 kajidhamini kwa bil nane.!........ jamani au mi ndo sijaelewa?
   
 13. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,868
  Likes Received: 6,566
  Trophy Points: 280
  Ndio ushangae sasa Mkuu...
   
 14. u

  umsolopagaz Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ......si wa tasnia ya sheria, lkn uzoefu wa kufatilia mambo umenifunza kuwa hata sheria wakati mwingine (na mara nyingi zaidi ktk nchi zetu za ulimwengu wa tatu) uihalifu haki...laiti tungegeuka kidogo tukatazama kwa wenzetu wa indonesia wanavyoshughulikia ufisadi kwa muondoko wa "mahaka za umma", kisha tukatazama rafiki zetu wa uchina wanavyohukumu wala rushwa, hakika lugha yetu juu ya rushwa ingekuwa jambo lingine...kucheza na rushwa ingekuwa sawa na kushika nyaya za msongo mkubwa wa umemena mikono mitupu!
   
 15. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wengi hatujaelewa,!!
  Na hivyo mbona ni vijisenti tu!
   
 16. Mnama

  Mnama JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2012
  Joined: Oct 13, 2010
  Messages: 1,646
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Na tusubiri episode 2 ,maana scene hii wamezicheza vizuri,mtuhumiwa katokea nyumbani kwa akiwa na ulinzi na anarudi kulala kwake siujui kama kuna mtu atafungwa hapa.kesi kama hizi hazikutakiwa kuwa na dhamana serikali inacheza na ubadhirifu na rushwa blues kwa karibu mna ndio maana havita ondoka katika nchi hii,they are here to stay....
   
 17. sir.JAPHET

  sir.JAPHET JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 700
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mi nashangaa sana sasa kwa kwel cjui 2nakwenda wap ? Kimsingi huyo bwana mdogo id simba hayo mapesa yote kayatoa wap kwa mda mfup aliofanya kaz hapo na kujidhamin kwa bl.8, hao ndo wez sugu 2nao watafuta, wa2 2mefanya kaz serikalin na kwenye mashrka na makampun binafsi makubwa ha2jawah kushka hata bl.2 ama kwel mcheza kwao hu2nzwa!!
   
 18. lm317

  lm317 JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2012
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 452
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  !
  Na sisi ni wakali sana! Uliza wezi wa kuku au jaribu kumchomolea mtu buku mfukoni uone mziki wake!
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mtu yeyote anayepekwa mahakamani lazima ajipange. Swala kama la dhamana huwezi kusubiri hakimu akwambie inabidi uwe tayari tayari na hati husika na watu uwaandae. Hapo sio ufisadi ni common sense
   
 20. N

  Ndinani JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 5,413
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Uwezekano wa Idd Simba kwenda lupango ni mkubwa sana, hasa kwavile hawapatani na mkweree anaweza kuinfluence hukumu!!
   
Loading...