ndio maana naanza kuamini kwa nini watanzania kila siku wanaingizwa kwenye mikataba mibovu.....huu muungano gani hata taahira kichaa hawezi kukubali muungano wa aina hii .Eti muungano wa wao kuja kututawala sisi lakini sisi kwao marufuku! Hata kukaa tu wanatuchomea nyumba na maduka na makanisa yetu! Muungano gani huu! Dunia nzima sijawahi ona kitu kama hiki! Halafu marais wao wanakuja kuchukulia uzoefu wa kuongoza huku kwetu! Kwa maoni yangu, muungano uvunjwe hata sasa! Bara hatutapoteza chochote! Sana sana tutafaidi kwa kuwakamua kodi na kuwauzia umeme na chakula!!
Huko waliko wanasikilizia na wanalia tu, maana wanaona ubwabwa wao unataka kupokonywa!Siyo Mawaziri tu hata Wabunge wao aka wawakilishi waondoke tusiwaone Mjengoni tena ili tuwe na uhakika kweli wanataka Zenji yao.
Tatizo kubwa la wenzetu across the water ni unafiki na kuogopa. Mawaziri walitakiwa wawe mstari mbele kuwakanya au kuwapa support wenzao. Kama kawaida wamekaa kimya, hii inaasheria kuwa wanaunga mkuno vitendo vya kigaidi wanavyofanyiwa Watanganyika walioko Zanzibar. Je tukaamua kuachie vijana toka KITUNDA waingie kutafuta wapemba Dar hivi watajisikiaje!!!! Uwezo tunao sana ila hatujaamua. Kwa Maana hiyo Basi Mawaziri toka Zenji uonesha msimamo wenu either way.Huu ndio muda mzuri wa hawa mawaziri wa Zanzibar kuachia ngazi walizo nazo huku Tanganyika na kwenda kujiunga na mashehe huko visiwani kudai uhuru wao na kupinga unyonyaji unaofanywa na waislamu na wakristo wa huku bara