Vuguvugu na wimbi la mabadiliko ya siasa za Tabora yamefikia patamu. Kama Tabora imeamua kuikataa ccm inayoutafuna mkoa ni afadhali. Nchi hii hakuna wa kuikomboa ila watanzania wenyewe. Mungu yuko...
Kwa Kila Mtanzania mpenda mabadiriko na Mtanzania yeyote anayetaka kuona nchi hii ikienda kwenye mstari wa Neema hataacha kufuatilia M4C aka Vua Gamba Vaa Gwanda. Katika Mikutano yote ya M4C...
Wanabodi hukumu inayowakabili viongozi wa CHADEMA mkoa wa Dodoma itasomwa kesho katika mahakama kuu kanda ya Dodoma kuanzia saa mbili asubuhi.Kesi hiyo inawahusu katibu wa CHADEMA mkoa wa DODOMA...
Kama uchaguzi ujao utafanyika chini ya katiba mpya ikiwa na kipengele cha rais atachaguliwa kutokana na wingi wa wabunge waliochaguliwa badala ya mfumo wa sasa unaotambua ushindi wa rais kwa idadi...
Hivi kuingia Zanzibar itakuwa kwa visa au watakuwa members wa EAC hivyo kuruhusu free movement?
Na wazanzibari walioamua kuinvest Tanzania bara itabidi waishi kwa residence permits au itabidi...
Na mashinda - Imechapwa 26 May 2012
Ndani ya Jamii
ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Mbozi, Gabriel Kimolo amekanusha uvumi ulionea kuwa ana mpango wa kuhamia Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Na Jabir Idrissa - Imechapwa 23 May 2012
MAWAZIRI watatu wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar waliotuhumiwa ufisadi katika uuzaji na ukodishaji mali za serikali, huenda wakafukuzwa kazi kabla ya...
Nimekuwa nikifuatilia operation ya vua gamba vaa gwanda katika sehemu mbalimbali. Mhe. Zitto Zuberi Kabwe haonekani kwenye mikutano ya hadhara. Kama unajua sababu ambazo zinamfanya mheshimiwa huyu...
a. Kutalazimisha uchunguzi kukamilika mapema
b. Kutaondoa wingu la tuhuma dhidi ya watu
c. Kutapunguza gharama za kuendesha kesi kwa miaka mingi
d. Watu wafikishwe mahakamani wakati...
Wasomi wa Tanganyika wasema katiba ya Muungano isi jadili Muungano jee wasomi wa Zbar muna semaa jee?Written by amini // 19/10/2011 // Habari // No comments
KILIMACHO NA CHANGA LA MOCHO...
Wakazi wa manispaa ya Mtwara wamepokea kwa furaha kubwa taarifa za ujio wa CDM katika mikoa ya kusini.Wananchi mbalimbali waliohojiwa wamesema wamekuwa wakiisikia CDM kupitia vyombo mbalimbali vya...
Written by Stonetown (Kiongozi) // 05/05/2011 // Makala/Tahariri // 21 Comments
Msione taabu sana kusoma mada hii au mada zangu. Kwa jicho la ghafla, utadhani kama vile jokes; lakini...
Nimekuwa nikifuatilia matamshi ya viongozi mbalimbali wa CCM pamoja na habari za gazeti la uhuru na Mzalendo na kugundua kwamba chama hichi kikongwe cha siasa wamekuwa madalali wazuri wa...
Haya nayasema mimi Kada wa CCM.kuwa hyo mikutano yenu mnayoifanya ni sawa na ngonjera au Maigizo...Ndani ya vyama pinzani hakuna mwenye uwezo wa kuongoza nchi.Wachaga wakisha Dola hii basi ujue...
Ili kukabiliana na pesa chafu, CCM inakusudia kuanzisha makampuni au kununua hisa kwenye makampuni ya biashara.
Hii ni kwa mujibu wa Peter Kisumo(mwenyekiti wa baraza la wadhamini).
My take...
Akizungumza na waandishi wa habari jana Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa CCM mzee Peter Kisumo alidai kuwa CHADEMA wanaye mwanachama wao ambaye akilala na kuamka anatangaza kukipa chama hicho...
THE FOLLOWING IS AN ARTICLE WE RAN AT THE END OF APRIL. IT HAS NOT BEEN COVERED IN THE TANZANIA PRESS SO WE ARE RERUNNING IT AS A NOTE
*GOVERNMENT CONCLUDES NEGOTIATIONS WITH TANZANIA*...
habari za kuaminika ni kwamba,msimamo wa chadema kuhusu serikali ambao kimsingi CCM haikubaliani nao ndo kitu wazanzibari wanataka ili kudumisha muungano,kama si kupigilia msumali wa mwisho wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.