Kama uko karibu na TV tune starTV
anafanya mahojiano na StarTV, ni kipindi recorded (not live) but worthy watching.
anaongea kwa 'mbwembwe' jinsi EU + America wamejicomit kuisaidia Tanzania...
Ndugu wana DAR,
Mimi binafsi nawapongeza kwa jinsi ambavyo mlijitokeza siku ya tar 27 katika uwanja wa CDM Square... Lakini niseme tu binafsi niliona kama makamanda hawakupata Muda wa kutosha...
Habari zenu wanaJF..!
Kumezuka Suala la UDINI Tanzania...,ambalo liliasisiwa na Mh.Jakaya M.Kikwete alipofungua bunge baada ya uchaguzi mwaka 2010..! ambako sasa hv Watanzania wamekuwa na hofu...
Leo saa kumi jioni Star Tv kwenye kipindi chake cha 'Vidokezo vya Habari' kumetokeza habari kwamba Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora amejiunga na Chadema.
Ama kweli M4C inashika kasi kubwa...
A direct correlation between the size of the cabinet and the institution of presidency remains vague, unresearched and least understood. The larger the size of the cabinet the weaker the...
Wakuu leo ktk safari zangu za kikazi nilikuwa mkoa wa Pwani wilaya ya Kisarawe kata ya Msimbu na kijiji cha Mwanzo mgumu. Nilipofika habari zilizozagaa kila kona kijiji kizima ni habari ya watu...
Kwanza nakipongeza chama changu cha chademokrasia na maendeleo kwa kuendesha harakati ktk sehemu tofauti nchi kama vile MOVEMENT FOR CHANGE(m4c),VUA GAMBA VAA GANDWA, OPERATION SANGARA n.k...
Sasa naona inagombana na kilamtu.
Iligombana na maaskofu kwa kushindwa kudhibiti wizi wa raslimali za taifa na rushwa.
Ikaomba urafiki na mashehe ila sasa inagombana nao kwa kushindwa kuwapa...
Duuh! M4C inatisha mbunge wangu nahisi unga wa rutuba umeanza kumfanya aogope maana ameanza kutoa tamko kwa wakurungenzi na kuanza fuatilia miradi ya maendeleo ya jamii! Tahadhiri hatutaki...
wadau napenda kufahamu ni kwanini viongozi wetu wanaona ni dhambi na ni vigumu kujadili mustakabali wa muungano wa tanganyika na zanzibar?je kuna hatari gani ya kuuvunja?
Tukupitia Jukwaa la great thinkers napenda kumuomba sana Mh Zitto arudishe nguvu zake kigoma mjini kwan tumechoka kuona jimbo la Kigoma Mjini likinyakuliwa na CCM kila msimu hadi tunamkumbuka Yuda...
Wanajamvi,
Kwa muda kidogo nimekuwa nikifuatilia jukwaani na kuona au kusikia kuwa katibu mwenezi wa CCM Nape Nauye amezindua operation ijulikanayo kama Vua Gamba, Vaa Uzalendo akiwa mkoa...
Wednesday, 30 May 2012 21:00
Katibu Mkuu wa CCM,Wilson Mukama
MUKAMA ASEMA KINA MPASUKO MKUBWA KAMA G8, NATO, MAIGE AMLIPUA NAPE, ASEMA NI GAMBA LINALOPASWA KUVULIWA
Amini Yasini, Rufiji na...
Waandishi Wetu
Toleo la 241
30 May 2012
Wabunge wajipanga kuunda makundi maslahi
Wataalamu kutoka Kenya watinga kusaidia
Mgombea aliyechafuka kuombwa kujiunga
HARAKATI za wataka urais wa...
It is official kuwa Mr. Zitto Kabwe sasa ana nguvu sana katika duru za siasa nchini Tanzania (i am talking about a different kind of power). Taratibu naanza kuamini kuwa huyu bwana amekuwa - au...
Taarifa Kwa Vyombo vya Habari, Jumanne, 29 Mei 2012
Viko wapi vitabu vya makadirio ya Bajeti?
Tumesikitishwa na hatua ya Serikali kushindwa kutoa vitabu vya makadirio ya bajeti ya mwaka wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.