CHADEMA: Dar mpaka DC funika mbaya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA: Dar mpaka DC funika mbaya

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Crashwise, May 26, 2012.

 1. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #1
  May 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Huku jangwani kukizidi kupendeza huko DC Msigwa, Nasari na Zitto wanatarajiwa kufunia kwenye mkutano unaotarajiwa kufanyiaka muda si mrefu kuanzia sasa utakao huduliwa na watanzania zaidi ya 2000. pamoja na mkutano huo makamanda hao watafungua tawi la Chadema kwa kushirikiana na jumuiya ya watanzania wanaoishi Marekani, nikiongea na Kamanda Nasari alisema "we want them to be involved in social economical and political affairs eg katiba mpya." wengi wanatarajiwa kuvua magamba na kuvalishwa magwanda huko huko.

  Mungu ibariki Chadema izidi kusonga mbele.
  NasarinaMsingwa wakiwa DC.jpg
   
 2. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #2
  May 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mbona ueleweki kijana DC Msigwa ndiyo wapi?
   
 3. S

  Soki JF-Expert Member

  #3
  May 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  No one can hinder M4C

  Crashwise, pamoja sana mkuu!
   
 4. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #4
  May 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  Habari inaeleweka vizuri sana.
   
 5. S

  Soki JF-Expert Member

  #5
  May 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Crash, camera yako itakuwepo Jangwani leo kwa faida ya wale wasiioona ITV?
   
 6. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #6
  May 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Nilijua wote ni ma-great thinker samahani kaka niliimanisha Washington, DC....
   
 7. Apolinary

  Apolinary JF-Expert Member

  #7
  May 26, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 4,698
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  amemanisha washngton dc
   
 8. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #8
  May 26, 2012
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Kuna makamanda pale jangwani naamini hawatatuangusha...juzi kwenye kesi ya John Mnyika wametutendea haki naamini na leo watatutendea haki....
   
 9. Ishina

  Ishina Senior Member

  #9
  May 26, 2012
  Joined: Dec 27, 2011
  Messages: 170
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huku jangwani kukizidi kupendeza huko Washington DC, Msigwa, Nasari na Zitto wanatarajiwa kufunika kwenye mkutano.....

  Umeelewa sasa?!
   
 10. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #10
  May 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mkuu tunaomba ututumie kapicha bwana maana hivi tu hatupati monkari
   
 11. Sangarara

  Sangarara JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2012
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 13,048
  Likes Received: 554
  Trophy Points: 280
  m4c is m4l i.e movement for liberalization
   
 12. b

  blue arrow JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimekupata mkuu but videos is much better please
   
 13. S

  Soki JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hata kwa watakaoona live ITV, bado picha zina umuhimu mkubwa...kumbukumbu.... details nk. Kama wako watu walioandaliwa kwa kazi hiyo ni vizuri.

  Leo hatutaki tukose uhondo kabisa!!!
   
 14. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Saizi saa saba nimepita jangwani mbona hamna watu kuna viti vya plastik kama 20 tu kwa mbali utadhani kuna kamkutano ka Injili.
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2012
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Haya makamanda yavueni magamba huko DC nasikia yamekuwa magumu kweli
   
 16. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #16
  May 26, 2012
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Tunashukuru kwa wewe kuwa mmojawapo wa watu kupita hapo,unadhani watu wanafikaje?Ni kama ulivyofanya wewe!
  Usidharau mikutano ya injili maana haijawahi kutokea kukawa na viti ishirini tu katika mkutano wowote wa injili
   
 17. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Tumbo linakuuma unatafuta kichka jangwani ukapumue kwa masaburi
   
 18. S

  Soki JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 1,308
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Hii coment yako + hilo jina lako + hiyo avatar yako = ...............

  Kwa hiyo hatushangai unachosema
   
 19. m

  mwana wa africa JF-Expert Member

  #19
  May 26, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 490
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  tupieni picha basi hata kama ni za jukwaa tupu na maflag!
   
 20. V

  Vunjavunja Member

  #20
  May 26, 2012
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 92
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuko pamoja makamanda tunaomba mdhidi kujuza huku udom tunatamani sana m4c ingie ktk mji wa Dodoma.
   
Loading...