Zanzibar haihitaji UN kuvunja muungano: Mbinu ni hii hapa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar haihitaji UN kuvunja muungano: Mbinu ni hii hapa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by RMA, Nov 11, 2011.

 1. R

  RMA JF-Expert Member

  #1
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 409
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umoja wa mataifa unatambua haki ya kila nchi kujitawala yenyewe. Na hivi iwapo Zanzibar itapeleka mapendekezo yake, ni wazi yatatiliwa maanani. Lakini kwa hoja za demokrasia na style za diplomacy walizonazo UN, jambo hilo laweza kurudishwa nchini kwa ajili ya mchakato wa kidemokrasia. Wasipoangalia suala la muungano laweza kupigwa danadana na ccm kama lilivyo suala la katiba.

  Nionavyo mimi kazi ni ndogo tu hapo! Zanzibar saidieni kukiweka madarakani chama cha upinzani huko bara na mwanga mtauona asubuhi na mapema maana sote tunajua huo ni muungano wa ccm! Bila kuiondoa ccm Zanzibar kujitenga ni ndoto. Bila kujali itikadi za vyama wala dini, ungeni mkono upinzani huko bara! Hiyo ndiyo dawa!
   
 2. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #2
  Nov 11, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Natamani wangejitenga hata leo!
   
 3. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #3
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Zanzibar ni mzigo kwa muungano huu wa kinafiki. Ntashukuru kama tutautua huu mzigo tumechoka
   
 4. D

  Dopas JF-Expert Member

  #4
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Wataweka serikali ya upinzani wakati ndio kwanza ndoa na CCM imenoga. Ndo kwanza Maalim anafurahia glasi ya wisky kadiri ya Nape. Upinzani wa CUF Zenj utabaki zilipendwa za miaka ya 1995-2005/2010. Pole yao.
  Kuhusu kujitenga natamani waharakishe. Tunajua baadaye zitazaliwa nchi mbili huko Zenj. Pemba haitakubali kutawaliwa na Unguja. Watatamani kuwa na Nchi yao wenyewe, au watatamani wabaki ndani ya Tanganyika kuliko kuwa chini ya utawala wa Unguja.
  Na Watanganyika tulioachwa kwa Wazenj kujitenga tutabaki salama. Na hapo ndipo unabii wa baba wa Taifa unatimia......
   
 5. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,290
  Likes Received: 19,438
  Trophy Points: 280
  kwanza ndio wanaipenda sana ccm ...wamemezesha na hapo hapo wanailaumu wizara ya elimu iliyowekwa na mabwana zao ccm na mfumo ccm wanauita mfumo krosto huku umewekwa na mabwana zao cm
   
 6. hasan124

  hasan124 JF-Expert Member

  #6
  May 29, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 716
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  WaZnz wameshindwa kuiondoa CCM Znz miaka yote hii kwa tofauti ya 1% ya kura then Leo ati wake kusaidia Bara?!!
   
 7. Pharaoh

  Pharaoh JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Zanzibar igeuzwe Wilaya tu
   
 8. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Na jinsi hali ilivyo, wakishafanikiwa kuvunja kuungano, kitakachofuata ni kugawana visiwa!!!
  Waarabu na waafrica
   
 9. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  asante kiongozi
   
 10. t

  tpmazembe JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 2,474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  hawa zanzibar kwanza nimeshawachoka,hawa sio watu wa kujadiliana nao ,wakijiunga chadema mimi nitatafuta chama kingine yaani mindset yao watakiuwa tu chama hawa ,yaani ni kichwa ngumu ,ni kama mwanamke anayetembea na kimini bila kuvaa chupi hata umfunde vipi utamkuta kajitanua tu.
   
 11. Chilli

  Chilli JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2012
  Joined: Jul 17, 2011
  Messages: 1,638
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Wapemba hawana lolote la kutuambia, kama kweli wapo siriaz watoe hii nchi kwa Pipoz pawa wapewe kakipande kao wasepe, kwanza wanatutia jasho tu, waende zao huko wakale urojo.
   
 12. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2012
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Who thinks that we need Zanzibar! Wajitenge hata leo
   
 13. m

  mzaire JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 200
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na Tanganyika mtagawana mikoa ya kaskazini na kusini.
   
 14. b

  bdo JF-Expert Member

  #14
  May 30, 2012
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,711
  Likes Received: 1,611
  Trophy Points: 280
  nimewachoka wazanzibar!
   
 15. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kuvunja muungano kwa sasa kutakuwa na hasara kubwa kuliko faida...... tufikirie mara mbili mbili
   
Loading...