Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naomba wataaluma wa maswala ya ubinadamu, sheria za nchi, katiba, na saikolojia ya binadamu mnisaidie, tena mnisaidie sana. Nawakaribisha hata raia kama mimi wasio wataaluma wa maeneo hayo kutoa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
I've made a follow-up on what is blowing in the party and national political atmosphere. My immediate advise coming out of what I've concluded is that now it is inevitable for NYINYIEMU to either...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Wadau kama kawaida yangu huwa sipendi kufungwa macho kwa hoja mpya,mbinu wanayotumia wanasiasa wengi wa Tanzania,wakiona kunahoja inawalemea huanziasha hoja nyingine ili kufunika hoja iliyoko...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Wadau kama kawaida yangu huwa sipendi kufungwa macho kwa hoja mpya,mbinu wanayotumia wanasiasa wengi wa Tanzania,wakiona kunahoja inawalemea huanziasha hoja nyingine ili kufunika hoja iliyoko...
0 Reactions
0 Replies
784 Views
AUDIO | DW.DE Makundi ya wanaharakati ya haki za binaadamu nchini Tanzania yanasema kiasi ya watu 3000 wameuwawa nchini humo kutokana na imani ya kishirikina katika kipindi cha mwaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nafikiri nahitaji kuzungumza kiasi juu ya Dhana hizi mbili za Vua Gamba na Vaa Gwanda.... **Miezi kadhaa iliyopita CCM ilikuja na dhana ya VUA GAMBA falsafa hii ilipigwa vita na kupingwa na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA MPYA Katika hotuba yake anadai kwamba mchakato wa Katiba Mpya unaoendelea hivi sasa unatokana na shinikizo la CHADEMA, Asasi za kiraia na viongozi wa dini...
0 Reactions
137 Replies
11K Views
Kenya na nchi nyingine za Jumuia ya Afrika Masharika hawana raha na Samuel Sitta na Tanzania kwa ujumla. Hii ni baada ya kuwawekea ngumu kuingiza suala la ardhi kwenye jumuia. Taarifa toka kwenye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Jana Mitaa ya Leganga ilijaa watu wenye mchanganyiko wa hasira na furaha mida ya Jioni baada ya mtuhumiwa wa mauaji kuletwa Leganga. Wananchi waliomba wapewe japo dakika mbili nae wapoze hasira...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana- JF mtakumbuka mama yule aliyekuwa Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Sumbawanga Mjini, alihusika sana kupora haki ya watu wa jimbo la Sumbawanga mjini kuwakilishwa na mtu waliyemtaka Mwalimu...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakati naanza kidato cha kwanza enzi zile za Chama Kimoja, mojawapo ya masharti ya shule yalikuwa kuwa mwanachama wa UVCC. Mimi nilikuwa miongozi mwa wanafunzi wachache walipinga na kukataa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau hii sijaielewa vyema nhisi kama ni upotevu wa pesa, na kwanini mtu awe na ID mbili? " Khatib alitaka kujua umuhimu wa vitambulisho hivyo na vile vya Zanzibar ambavyo Wazanzibari wamekuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Bwana vita Charles Taylor, rais wa zamani wa Liberia anaingia ndani ya nondo za magereza kwa miaka 50. Amepatikana na hatia ya kufadhili vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Sierra Leone. Kuna...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwandishi Wetu Toleo la 241 30 May 2012 WAKATI joto la ufisadi uliofichuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh, kiasi cha kuibua shinikizo la kutaka baadhi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu nimeinasa sehemu nikaona niiweke hapa jamvini TAMKO LA VIJANA WA BUKOBA MJINI WAISHIO DAR ES SALAAM Ujio wa Nape: Kagera Tumedharauliwa na Uzalendo Umedhihakiwa Tumejaribu kutafakari...
0 Reactions
144 Replies
12K Views
Hili lipo wazi kabisa. Inajulikana sasa kuwa baadhi ya Wazanzibari wanaitaka Zanzibar yao kwa hali na mali. Wako wahafidhina toka kada mbalimbali huko visiwani walio wazi na walio ufichoni ambao...
4 Reactions
80 Replies
7K Views
Rais aliwahi walaumu CDM kuwa wanamkipu busy kwa kuibua mabomba ili awe busy yajibu, na akajisifu kuwa meshtukia na hatokuwa akijibu.Ila kwa jinsi matukio yamekuwa mengi,kuanzia richmond,EPA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Soma mwenyewe kwa kubofya hapa
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Viongozi wa CHADEMA mkoa wa Dodoma waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya kufanya mkutano pasipokuwa na kibali cha polisi leo wameachiliwa huru na mahakama ya mkoa wa Dodoma. Hii imetokana na upande...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Hakuna wakati mgumu sana kama kipindi hiki kwa chama cha CDM kujiimarisha na kujieneza nchi nzima huku kikikabiliwa na changamoto nyingi.Inahitajika umakini wa hali ya juu ili kuzidi kuimarisha...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom