Spika Anna Makinda aikubali na kuibariki CHADEMA

NGOWILE

JF-Expert Member
Sep 8, 2011
454
258
Katika hali isiyokuwa ya kawaida katika semina ya wabunge wa Afrika mashariki spika wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania amewaambia wabunge hao kuwa wanaweza kutoka nje ya bunge la Afrika Mashariki ikiwa wataona kuna hoja inaikandamiza Tanzania.Alisema bunge lina watu wajanja sana hivyo wanaweza kuikandamiza Tanzania.Ushauri huu wa spika unaonyesha dhahiri kwaba anakubaliana na wabunge wa CHADEMA kwa msmamo wao wa kutoka nje ya bunge pale wanopoona watanzania wanaonewa. Naomba kuwasilisha.
 
Na wabunge wa ccm waache kuwazomea wabunge wa chadema wanapotoka nje ya bunge baada ya kugundua kuna hoja zinazowakandamiza watanzania zinapitishwa kihuni!
 
kumbe anatambua kuwa Chadema huwa inakandamizwa,bi kiroboto bwana!
 
Wabunge wa chadema njooni na nyingine mpya magamba wazidi kujifunza!magamba mwaka huu ni kama wanafunzi walimu wao chadema na mwalimu mkuu wao mbowe mtaaluma Dr.slaa,nidhamu tundu lisu mwalimu wa zamu mnyika shule wataipata magamba
 
Back
Top Bottom