Iramba magharibi.mwanasiasa huyu anachosha . | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iramba magharibi.mwanasiasa huyu anachosha .

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwanakidagu, May 30, 2012.

 1. m

  mwanakidagu JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  'Tabia hii ya mwanasiasa huyu.(mwigulu nchemba).inasikitisha.
  1.uliahidi visima vya maji kata ya mbelekese.viko wapi visima vya maji?
  2.ulipita mbelekese sekondari ukawapa walimu Tsh 10000.ukidai unapesa nyingi.na ya kuwa wakulinde.je hyo ilikuwa mojawapo ya ahadi zako!?
  3.michango kwa wananchi masikini kama hao,haina tija.kwani inaishishia mikononi mwa walafi.uko wapi mfuko wa jimbo.?.tunaambiwa serikali hutoa sh 3565.kila siku kwa kila raia kwa ajili ya maendele jimbo.
  4.kwa makusudi.umeamua kuupindisha mradi wa umeme ulio kuwa utoke ndago.kuelekea kibaya,usure,mbelekese,kikonge hadi kaselya.na vijiji jirani.matokeo yake unapeleka umeme makunda.kijijini kwako.sina neno juu ya hilo .uchungu wangu ni haki ya msing ya vijiji tajwa.ambapo umaskin umepamba moto.miongoni mwao.umeme ungeinua vipato vyao.wewe umeminya haki yao.
  .jitokeze ujibu hoja hizo.za kuwapa walimu vijipesa ulainishiwe mambo yako..,maji wananchi hujawapatia mpaka sasa,umeme umewanyima kwa makusd wana kiji hao!.ewe mwana iramb wekeni maoni yenu hapa.
  Source.
  .mwalimu-mbelekese sec school.tsh 10000
  umeme na maji.mwanakijiji kijana.anaye chota maji km.10.mto wa kikonge.
   
Loading...