Shelukindo katikisa Taifa kwa dakika 10 tu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Shelukindo katikisa Taifa kwa dakika 10 tu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by akide, Jun 21, 2012.

 1. a

  akide Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama huo ndio ukomavu wa kisiasa na usomi,utapita 2015,maana wabunge hao wanaohangaika kuwajibu wapinzani,kweli hawaelewi maana ya upinzani,maana umeongea dakika kumi tu,na umekuna taifa zima,kwa maneno ya kujenga nchi,we ni mzalendo,endelea hivyo mama achana na hao wanaoshinda kujibu upinzani na kupiga makofi,machozi ya watanzania watayalipa siku moja kwa unafiki na uovu wanaoufanya.
   
 2. w

  wimbi la mbele JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 647
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  as if tutachokitaka kwenye nchi hii ni kutikisana
   
 3. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Weka mkutasari wa aliyozungumza nasi tutikisike
   
 4. Tekelinalokujia

  Tekelinalokujia JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 353
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kalonga nini?
   
 5. a

  akide Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mama huo ndio ukomavu wa kisiasa na usomi,utapita 2015,maana wabunge hao wanaohangaika kuwajibu wapinzani,kweli hawaelewi maana ya upinzani,maana umeongea dakika kumi tu,na umekuna taifa zima,kwa maneno ya kujenga nchi,we ni mzalendo,endelea hivyo mama achana na hao wanaoshinda kujibu upinzani na kupiga makofi,machozi ya watanzania watayalipa siku moja kwa unafiki na uovu wanaoufanya.
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,470
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Kasema nini tena?
   
 7. ntamaholo

  ntamaholo JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 10,148
  Likes Received: 2,108
  Trophy Points: 280
  hakika, wengine yanayotokea tunategemea kwa waangaliaji
   
 8. a

  andrews JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 1,680
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kasema nini
   
 9. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,316
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hadi sasa, ni wabunge Filikunjombe, Mkono, Sendeka na huyu mama kambi ya CCM ambao wameonakana kujifungua toka kwenye minyororo ya u-chama. Kanifurahisha sana alipowashangaa wabunge wa CCM wanaotarajia CDM isifanye kazi yake ya kuwakosoa watawala.
   
 10. segwanga

  segwanga JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 2,790
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Mleta mada uwe msomi basi na sio msomaji wakilisha mada kama grt thinker bana.Wengne hatuwa na acces ya tv
   
 11. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,843
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Nimesikilza kidogo nilichopata kazungumzia umuhimu wa wapinzani katka mfumo wa vyama vingi na kasema wanaopoteza muda kupambana bungeni na kambi ya upinzani ni wasioelewa maana ya upinzani.Hoja zianzotakiwa kujadiliwa bungeni ni taarifa ya mzee wa gombe, hotuba ya waziri wa fedha na mpango wa maendeleo 5yrs kwisha.Mambo ya kujadili hotuba ya kambi ya upinzani huo ni uzezeta ni nje ya mada.AMEWATAKA WAPINZANI WAONGEZE NGUVU KUIPINGA NA KUIKOSOA SERIKALI YA CCM ILI IENDELEEE KUTAWALA.Mama kapinga mwenendo wa wabunge wa ccm kushambulia upinzani
   
 12. K

  Kimweli JF-Expert Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 865
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Huyu mleta maada hajatulia au hajui wengi tupo ofcini tunajenga mataifa ya Ulaya!!!!! Siyo wote tunaangalia au kusikiliza TV. Please njoo tena
   
 13. Communist

  Communist JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 5,391
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Unajua watakaorudi bungeni 2015 kutoka upande wa CCM ni wachache sana. Muulize mama kilango aliona nini kule Kiwira.
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa kifupi, Beatrice Shellukindo kawaambia wabunge wa CCM kuwa wanachofanya wabunge wa upinzani ni sahihi kabisa, wako hapo kukosoa chama tawala na ndivyo wanatakiwa kufanya kama wabunge wa upinzani. Badala ya kukwashambulia wangechukuwa yale mazuri wanayoambiwa na upinzani.

  Pia kasema wabunge wa upinzani wanapenda sana chama tawala na wanachofanya ni kukosoa ili chama tawala kijirekebishe na hivyo kuendelea kubaki madarakani.

  Kwa maoni yangu Beatrice Shellukindo ameonesha uelewa mzuri sana wa siasa za vyama vingi ndani ya bunge. Ameonesha kuwa na ngozi mungu jambo ambalo ni muhimu kwenye ulingo wa siasa. Wabunge wa CCM wanaoshambulia wapinzani ni kutoelewa nini kazi za ya wapinzani. Kuna utoto wa hali ya juu CCM!
   
 15. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  alotikisika ni mpiga kura wake tu
   
 16. Bill

  Bill JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 4,165
  Likes Received: 1,251
  Trophy Points: 280
  Si bora hao ungejadili wewe na mpenzi wako kisha sisi ukatutaarifu alichosema huyu mama. Ina maana gani sasa kutuwekea mawazo yako hapa,usiwe na akili kama za mwigulu Nchemba
   
 17. Wambugani

  Wambugani JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 8, 2007
  Messages: 1,755
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Sendeka na Kilango huwa wanageuka na wanarudi kwenye magamba.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  wameongea nini,

  pipa naungana na muyaka binhaji.... sidhani kama tunataka kutikisana, tunachohitaji ni mambo ya mbolea kuboresha taifa

  hayo ya kuwasha moto, kutema cheche, kutikisha, kufuka moshi, kuvurumisha vumbi nk.. hayana tija katika jamii
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  sendeka na kilango wana issues na personalities zao wenyewe
   
 20. Jakubumba

  Jakubumba JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 1,627
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kazi kweli kweli!
   
Loading...