Nassari ongeza sauti... hatujasikia..

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Mizengo leo kachombeza kuwa wabunge vijana sio lazima waongee kwa sauti sana hadi kutetemeka. Wanaweza kuongea 'kistaarabu' polepole na wakasikika. Sasa mimi naomba kumuuliza Pinda

"Hivi watu wakivamiwa na mwizi, wako wawili, mmoja akawa anamnong'oneza mwizi ...'we mwizi, we mwizi acha kuiba jamani'..., Na mwingine akawa anapiga mayowe na makelele, na filimbi, ...mwiziiiiiiii, mwiziiiiiiiiiiii'.......... Kati ya hawa watu wawili, nani mwenye nia hasa ya kupambana na mwizi?

Maana wabunge vijana wanapiga kelele za kufukuza mafisadi...
 
Kwi! Kwi! Kwi! Mkuu hii ni mijambazi inahitaji kazi ya ziada
 
Pepo hakemewi kimya kimya bana, nani alisema tunajadiliana na maruhani?

Paza sauti mpaka mwalimu wa upe aumwe masikio
 
Huyu pinda anahofia sana vijana, sijaona sababu ya yeye ku-attack personality ya nassari ili hali hajaenda kinyume na kanuni za bunge.
Pinda jibu hoja acha ukondoo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Nassari and team, mwendo mdundo. pia uje ummuulize issue ya kamanda Lema ya Uongo wake Imefikia wapi?
 
Daifu PM, yaani badala ya kujibu maswali yeye ameliona hilo tu? every one is Dhaifu in the system. so strange
 
Piga kelele maana bila hivyo itakuwa ngumu kuwang'oa kwani wengine wamekwiba mpaka nywele zimeota kwenye masikio kwahiyo hawasikii kabisa ukinong'ona.
 
Hivi huyu mzee wa meeeeeee,ana dhani nyinyiemu bila kuongea kwa msisitizo wataelewa?yan wale ni mchaka mchaka tu.
 
Huyu pinda anahofia sana vijana, sijaona sababu ya yeye ku-attack personality ya nassari ili hali hajaenda kinyume na kanuni za bunge.
Pinda jibu hoja acha ukondoo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Taratibu wajameni. Tuzuie jazba zetu kidogo. MODS watapata kazi sasa hivi.
 
pinda nae si kaanza vijembe bwana...japo ni miongoni mwa watu wachache naowapenda katika CHAMA LA WATU DHAIFU ila aache kuimba ngonjera kama za komba
 
Staili ya Pinda ktk kuzungumza imechangia sana Tanzania kuzorota.

Anazungumza kwa upole kama vile hataki au hajiamini.

PINDA ana majibu rahisi sana. Utadhani nchi ni shwari kumbe mambo bado
 
Mizengo leo kachombeza kuwa wabunge vijana sio lazima waongee kwa sauti sana hadi kutetemeka. Wanaweza kuongea 'kistaarabu' polepole na wakasikika. Sasa mimi naomba kumuuliza Pinda

"Hivi watu wakivamiwa na mwizi, wako wawili, mmoja akawa anamnong'oneza mwizi ...'we mwizi, we mwizi acha kuiba jamani'..., Na mwingine akawa anapiga mayowe na makelele, na filimbi, ...mwiziiiiiiii, mwiziiiiiiiiiiii'.......... Kati ya hawa watu wawili, nani mwenye nia hasa ya kupambana na mwizi?

Maana wabunge vijana wanapiga kelele za kufukuza mafisadi...

Kwani Pinda anaogopa sauti za Vijana hapo mjengoni ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom