Ndekirhepva
JF-Expert Member
- May 18, 2012
- 371
- 44
wakuu embu wenye hii ratiba ya kamanda na fighter Lema ya kuzunguka hapa jijini Dar atupatie ili tukampe nguvu, manake bado natafta ajira na kazi sijapata kwa hiyo mda upo, hapa ni nyie tu mnipatie ratiba wadau