Mambo iko CDM, wenye wivu wajinyonge! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo iko CDM, wenye wivu wajinyonge!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zinduna, Jun 21, 2012.

 1. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #1
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Leo hii majira ya mchana, nimeitia mkononi kadi ya uanachama ya CHADEMA na kuitupilia mbali ile ya CUF. na mwaka 2015 nagombea ubunge visiwani hata ule wa viti maalum lazima kieleweke.
  [​IMG]
  M4C idumu milele na milele, na hakika tutashinda!
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  M4C! Chana chana hawa mafisadi mpaka kieleweke!

  Karibu ndani ya chama makini kwa kwa Taifa!
   
 3. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #3
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  haswaaaaaaaa,hongera sana umejikomboa wewe na uzao wako
   
 4. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #4
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Nakwambia ilinichukua wiki nzima kupata huku visiwani zisheisha zagombewa ka nini!
   
 5. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #5
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hapa ni mwendo wa M4C kwa kwenda mbele
   
 6. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #6
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Vijana hivi sasa damu inachemka na wito kwa vijana ni kuhakikisha tunaingia mjengoni mwaka 2015
   
 7. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #7
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  kuchana 2 haitoshi ua kabisa na kuzika kisiasa sio kimwili
   
 8. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #8
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
 9. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #9
  Jun 21, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hawa wazee wanajidai macho yamepufuka haoni vizuri herufi sa hata picha hawaoni tutawafanyia operesheni wataona 2
   
 10. Zinduna

  Zinduna JF-Expert Member

  #10
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 2,384
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hivi sasa tunaisubiri M4C Zenji!
   
 11. Medical Dictionary

  Medical Dictionary JF-Expert Member

  #11
  Jun 21, 2012
  Joined: Mar 12, 2012
  Messages: 1,053
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  m4c kanyaga twende..!
   
 12. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #12
  Jun 21, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Hongera Zinduna, tunawakaribisha pia wale vijana wa silly season
   
 13. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #13
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 280
  Kisiwa gani? Labda mafia!
   
 14. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #14
  Jun 21, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 12,197
  Likes Received: 1,978
  Trophy Points: 280
  Karibu mkuu!!!!!!!!
   
 15. J

  JATELO1 JF-Expert Member

  #15
  Jun 21, 2012
  Joined: Oct 31, 2011
  Messages: 1,235
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Hongera sana Zinduna kwa maamuzi mazito na ya kizalendo.
   
 16. chitalula

  chitalula JF-Expert Member

  #16
  Jun 21, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  karibu kwenye gari kuuuubwa
   
 17. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 21, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,709
  Likes Received: 12,759
  Trophy Points: 280
  Peooplesssssssssssss poweeeeer
   
 18. Mzizi wa Mbuyu

  Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member

  #18
  Jun 21, 2012
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 5,497
  Likes Received: 1,062
  Trophy Points: 280  .....  Ah! Karibu kamanda!!

  Tupukuchue magamba!!  ........
   
 19. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #19
  Jun 21, 2012
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mimi mwaka 2015 nachukua likizo nipige kampeni kuiua CCM kabsaaa!! Hasa Jimboni kwa LUKUVI,Wassira na Mwigulu lazima tuwang'oe hawa mafisadi
   
 20. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Mh! wandugu mbona no ya hiyo kadi iko chini sana?? 980 kama sijakosea kuisoma. Inamaana pamoja na juhudi zote za M4C ndo bado chama kina wanachama wachache hivyo au imekaaje hiyo.
  Ufafanuzi wakuu
   
Loading...